Loading...
title : M- BET KUTIMIZA NDOTO ZA WATEJA WAKE
link : M- BET KUTIMIZA NDOTO ZA WATEJA WAKE
M- BET KUTIMIZA NDOTO ZA WATEJA WAKE
Na Agness Francis globu ya jamii
KAMPUNI ya mchezo wa kubahatisha M- Bet imeendelea kutoa zawadi kwa wateja wao ambao wamekuwa waotumia fursa ya kubeti mchezo wa kubahatisha.
Ambapo leo M Bet wametoa hundi ya Sh. milioni 7.7 kwa mshindi ambaye ni wa 2 kwa mwezi huu wa droo ya Perfect 12 .Mshindi huyo ametajwa kwa jina la Given Mgale Mkazi wa Kagera.
Akizungumza leo Ofisa Habari wa M- Bet David Malley amesema baada ya ushindi huo na kukabidhi zawadi Serikali itachukua kiasi cha asilimia 14 ambayo ni kodi na mshindi wao atakabidhiwa zaidi ya Sh.Milioni 56.
Hata hivyo Malley amewaomba watu watumie fursa ya kujaribu bahati zao katika kushiriki droo hiyo kwa shilingi 1000 tu kwa kutumia njia ya Simu kwa kupiga *149*19# na kwa wenye smartphone waingie tovuti ya www.m-bet.co.tz kisha kwenda sehemu yenye mchezo wa perfect 12.
Kwa upande wake Mshindi huyo amesema haikuwa rahisi kwake kushinda kwani alijaribu kubeti mara nyingi zaidi na hakukata tamaa kwa kuamini ipo siku ndoto zake zitatimia.
"Safari ya kushinda fedha hizo ilikuwa ndefu kidogo kwangu, lakini sikukata tamaa mpaka nilipotangazwa mshindi wa M-Bet droo ya perfect 12 September 17 na sasa ndoto zangu za kujenga nyumba na kufanya biashara zimetimia.Nawashukuru vijana wenzangu watumie fursa wasikate tamaa,"amesema Given.
Afisa Habari wa kampuni ya M-Bet, David Malley(kushoto) akikabidhi hundi ya shilingi milioni 70.7 Mshindi wa M-Bet, Given Mgale (katikati) leo jijini Dar es Salaam baada ya kutangazwa mshindi wa 2 kwa mwezi huu katika droo ya 17 ya perfect 12.
Afisa Habari wa kampuni ya M-Bet, David Malley(kushoto) akikabidhi hundi ya shilingi milioni 70.7 Mshindi wa M-Bet, Given Mgale (katikati) leo jijini Dar es Salaam baada ya kutangazwa mshindi wa 2 kwa mwezi huu katika droo ya 17 ya perfect 12.
Hivyo makala M- BET KUTIMIZA NDOTO ZA WATEJA WAKE
yaani makala yote M- BET KUTIMIZA NDOTO ZA WATEJA WAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala M- BET KUTIMIZA NDOTO ZA WATEJA WAKE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/m-bet-kutimiza-ndoto-za-wateja-wake.html
0 Response to "M- BET KUTIMIZA NDOTO ZA WATEJA WAKE"
Post a Comment