Loading...

Kumbe Lulu Anaweza Kupata Dhamana Akisubiri Rufaa Kusikilizwa?

Loading...
Kumbe Lulu Anaweza Kupata Dhamana Akisubiri Rufaa Kusikilizwa? - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kumbe Lulu Anaweza Kupata Dhamana Akisubiri Rufaa Kusikilizwa?, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kumbe Lulu Anaweza Kupata Dhamana Akisubiri Rufaa Kusikilizwa?
link : Kumbe Lulu Anaweza Kupata Dhamana Akisubiri Rufaa Kusikilizwa?

soma pia


Kumbe Lulu Anaweza Kupata Dhamana Akisubiri Rufaa Kusikilizwa?

Wakili wa Elizabeth Michael ‘Lulu’, Peter Kibatala, kufuatia hukumu ya miaka miwili dhidi ya Lulu jana, ametoa ufafanuzi kupitia akaunti yake ya Instagrame kuhusu kitakachofuata alipoulizwa maswali na watu wengi ambapo alitumia fursa hiyo kuwafafanulia sheria inavyosema kuhusu nini kinafuata.

Majibu yake kwa maswali hayo ni yafuatayo:
  1. Amesema kuwa hakuna hukumu tofauti inayoweza kutolewa kabla mhukukiwa hajatumikia theluthi ya kufungo chake ambacho kwa Lulu itakuwa ni kuanzia miezi  mitano.
  2.  Ndani ya hiyo miezi mitano dhamana inaweza kuombwa wakati wakisubiria rufaaa ianze kusikilizwa.  Kwa maana hiyo anaweza kutoka kwa dhamana muda wowote mahakama ikmpatia dhamana.
  3. Huwezi kuacha kijana wa miaka 22 mwenye maisha marefu mbele yake ahukumiwe kwa uhalifu kwa sababu ya suala la muda, kwani itaharibu maisha yake ya mbele. Kwa hiyo rufaa imelenga katika kuondoa tatizo hilo.
  4.  Kukata rufaaa na kuomba dhamana  na kufanya kazi za jamii vinaweza kufanyika kwa wakati mmoja wakati suala hili likisubiriwa kusikilizwa na mahakama ya rufaa.
==>Huu ndo Ujumbe wa Kitabala katika Instagram yake


Advertisement


Hivyo makala Kumbe Lulu Anaweza Kupata Dhamana Akisubiri Rufaa Kusikilizwa?

yaani makala yote Kumbe Lulu Anaweza Kupata Dhamana Akisubiri Rufaa Kusikilizwa? Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kumbe Lulu Anaweza Kupata Dhamana Akisubiri Rufaa Kusikilizwa? mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/kumbe-lulu-anaweza-kupata-dhamana.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kumbe Lulu Anaweza Kupata Dhamana Akisubiri Rufaa Kusikilizwa?"

Post a Comment

Loading...