Loading...
title : KUZINGATIA MAADILI NA KUPIGA VITA RUSHWA NDIO MSINGI MKUU WA MAENDELEO YA TAIFA LETU
link : KUZINGATIA MAADILI NA KUPIGA VITA RUSHWA NDIO MSINGI MKUU WA MAENDELEO YA TAIFA LETU
KUZINGATIA MAADILI NA KUPIGA VITA RUSHWA NDIO MSINGI MKUU WA MAENDELEO YA TAIFA LETU
Waziri wa Nchi – Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe. Selemani S. Jafo (Mb) akizungumza wakati wa uzinduzi wa Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa mkoani Dodoma katika Ukumbi wa Hazina Ndogo.
Waziri wa Nchi – Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe. Selemani S. Jafo (Mb) akimkabidhi nyaraka kuhusu maadili mwakilishi wa Katibu Mkuu-UTUMISHI Bi. Janeth Mishinga wakati wa uzinduzi wa Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa nchini.
Sehemu ya washiriki waliohudhuria ufunguzi wa Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa mkoani Dodoma katika Ukumbi wa Hazina Ndogo wakimsikiliza mgeni rasmi, Waziri wa Nchi – Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe. Selemani S. Jafo (Mb)
Baadhi ya wanafunzi waliowawakilisha wenzao wakati wa Klabu za Maadili wakati wa wa Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa mkoani Dodoma katika Ukumbi wa Hazina Ndogo.
Hivyo makala KUZINGATIA MAADILI NA KUPIGA VITA RUSHWA NDIO MSINGI MKUU WA MAENDELEO YA TAIFA LETU
yaani makala yote KUZINGATIA MAADILI NA KUPIGA VITA RUSHWA NDIO MSINGI MKUU WA MAENDELEO YA TAIFA LETU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUZINGATIA MAADILI NA KUPIGA VITA RUSHWA NDIO MSINGI MKUU WA MAENDELEO YA TAIFA LETU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/kuzingatia-maadili-na-kupiga-vita.html
0 Response to "KUZINGATIA MAADILI NA KUPIGA VITA RUSHWA NDIO MSINGI MKUU WA MAENDELEO YA TAIFA LETU"
Post a Comment