Loading...
title : Tanesco yakanusha Taarifa ya uzushi inayosambaa katika mitandao ya kijamii
link : Tanesco yakanusha Taarifa ya uzushi inayosambaa katika mitandao ya kijamii
Tanesco yakanusha Taarifa ya uzushi inayosambaa katika mitandao ya kijamii
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linakanusha Taarifa inayosambaa katika mitandao ya kijamii ikiwataka Wateja kununua Umeme kwa wingi kutokana na zoezi linaloendelea la kubomoa Ofisi za Makao makuu ya TANESCO hivyo kupelekea kuathirika kwa mfumo wake wa LUKU.
Tunaomba Wateja wetu wapuuze taarifa hiyo, kwani TANESCO kama ilivyobainisha katika taarifa ya awali , huduma zote za umeme ikiwemo ya manunuzi ya LUKU zitaendelea kama kawaida .
Tutaendelea kutoa taarifa kila inapohitajika.
Tafadhali usisogelee, usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka toa taarifa kupitia namba za simu zifuatazo: -
Kituo cha miito ya simu 2194400 na 0768 985100
Tovuti: http://ift.tt/2AqRlgB;
Mitandao ya Kijamii
http://ift.tt/2iX740u;
http://twitter.com/tanescoyetu
Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu
Novemba 27, 2017
Hivyo makala Tanesco yakanusha Taarifa ya uzushi inayosambaa katika mitandao ya kijamii
yaani makala yote Tanesco yakanusha Taarifa ya uzushi inayosambaa katika mitandao ya kijamii Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Tanesco yakanusha Taarifa ya uzushi inayosambaa katika mitandao ya kijamii mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/tanesco-yakanusha-taarifa-ya-uzushi.html
0 Response to "Tanesco yakanusha Taarifa ya uzushi inayosambaa katika mitandao ya kijamii"
Post a Comment