Loading...

Maafisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wapigwa msasa jinsi ya kumpima mgonjwa umeme wa moyo (ECG)

Loading...
Maafisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wapigwa msasa jinsi ya kumpima mgonjwa umeme wa moyo (ECG) - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Maafisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wapigwa msasa jinsi ya kumpima mgonjwa umeme wa moyo (ECG), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Maafisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wapigwa msasa jinsi ya kumpima mgonjwa umeme wa moyo (ECG)
link : Maafisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wapigwa msasa jinsi ya kumpima mgonjwa umeme wa moyo (ECG)

soma pia


Maafisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wapigwa msasa jinsi ya kumpima mgonjwa umeme wa moyo (ECG)

 Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Pal Bhadreshwara akionyesha namna  ya kumpima mgonjwa umeme wa moyo (Electrocardiogram - ECG) wakati wa mafunzo ya siku tano ya kutoa huduma kwa wagonjwa walioko katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) yanayotolewa na maafisa uuguzi kutoka Taasisi ya Open Heart International ya nchini Australia.
 Maafisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakijadili namna  ya kumpima  mgonjwa umeme wa moyo (Electrocardiogram - ECG) wakati wa mafunzo ya siku tano ya kutoa huduma kwa wagonjwa walioko katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) yanayotolewa na maafisa uuguzi kutoka Taasisi ya Open Heart International ya nchini Australia.
  Kaimu Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Huduma ya Uuguzi kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Robert Mallya akiwaonyesha wauguzi jinsi   ya kumpima  mgonjwa umeme wa moyo (Electrocardiogram-ECG) wakati wa mafunzo ya siku tano ya kutoa huduma kwa wagonjwa walioko katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) yanayotolewa na maafisa uuguzi kutoka Taasisi ya Open Heart International ya nchini Australia.
 Afisa Uuguzi kutoka  Taasisi ya Open Heart International ya nchini Australia Kiasha Munnis akifundisha jinsia   ya kumpima  mgonjwa umeme wa moyo (ECG) kwa wauguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati wa mafunzo ya siku tano ya kutoa huduma kwa wagonjwa walioko katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) yanayotolewa na wauguzi hao.



Hivyo makala Maafisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wapigwa msasa jinsi ya kumpima mgonjwa umeme wa moyo (ECG)

yaani makala yote Maafisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wapigwa msasa jinsi ya kumpima mgonjwa umeme wa moyo (ECG) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Maafisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wapigwa msasa jinsi ya kumpima mgonjwa umeme wa moyo (ECG) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/maafisa-uuguzi-wa-taasisi-ya-moyo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Maafisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wapigwa msasa jinsi ya kumpima mgonjwa umeme wa moyo (ECG)"

Post a Comment

Loading...