Loading...

Mhandisi Methew Mtigumwe Azitaka Taasisi za Utafiti Nchini Kuwanufaisha Wwakulima Kupitia Tafiti Zao.

Loading...
Mhandisi Methew Mtigumwe Azitaka Taasisi za Utafiti Nchini Kuwanufaisha Wwakulima Kupitia Tafiti Zao. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mhandisi Methew Mtigumwe Azitaka Taasisi za Utafiti Nchini Kuwanufaisha Wwakulima Kupitia Tafiti Zao., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mhandisi Methew Mtigumwe Azitaka Taasisi za Utafiti Nchini Kuwanufaisha Wwakulima Kupitia Tafiti Zao.
link : Mhandisi Methew Mtigumwe Azitaka Taasisi za Utafiti Nchini Kuwanufaisha Wwakulima Kupitia Tafiti Zao.

soma pia


Mhandisi Methew Mtigumwe Azitaka Taasisi za Utafiti Nchini Kuwanufaisha Wwakulima Kupitia Tafiti Zao.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew John Mtigumwe akikagua baadhi ya vitendeakazi mara baada ya kutembelea Maabara ya Uchambuzi wa Viuatilifu katika Taasisi ya Utafiti wa Viuatilifu vya kudhibiti visumbufu katika ukanda wa Tropiki (TPRI) kilichopo Mkoani Arusha.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew John Mtigumwe akikagua baadhi ya mbegu za maharage zilizogunduliwa na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo na Maendeleo Selian Kanda ya Kaskazini (NZARDI) mara baada ya kuwasili kwa ziara ya kikazi.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew John Mtigumwe akizungumza na watumishi katika Taasisi ya Utafiti wa Kilimo na Maendeleo Selian Kanda ya Kaskazini (NZARDI) wakati wa kikao cha kazi.


Mkurugenzi wa Idara ya Utafiti na Maendeleo Wizara ya Kilimo Dkt. Hussein Mansoor akielezea jambo mbele ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew John Mtigumwe mara baada ya kutembelea Taasisi ya Utafiti wa Kilimo na Maendeleo Selian Kanda ya Kaskazini (NZARDI) mara baada ya kuwasili kwa ziara ya kikazi.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew John Mtigumwe akiongozana na Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo na Maendeleo Selian Kanda ya Kaskazini (NZARDI) Dkt Margaret J. Mollel kukagua maabara ya uchambuzi wa Viuatilifu.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew John Mtigumwe akikagua baadhi ya mbegu za maharage zilizogunduliwa na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo na Maendeleo Selian Kanda ya Kaskazini (NZARDI) mara baada ya kuwasili kwa ziara ya kikazi.

Mkurugenzi wa Idara ya Utafiti na Maendeleo Wizara ya Kilimo Dkt. Hussein Mansoor akielezea jambo wakati wa kikao cha kazi na Watumishi wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo na Maendeleo Selian Kanda ya Kaskazini (NZARDI) mara baada ya kuwasili kwa ziara ya kikazi.


Ukaguzi wa vifaa kazi katika sekta ya kilimo
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew John Mtigumwe akipata maelezo ya ufanyaji kazi mara baada ya kutembelea Maabara ya Uchambuzi wa Viuatilifu katika Taasisi ya Utafiti wa Viuatilifu vya kudhibiti visumbufu katika ukanda wa Tropiki (TPRI) kilichopo Mkoani Arusha.


Hivyo makala Mhandisi Methew Mtigumwe Azitaka Taasisi za Utafiti Nchini Kuwanufaisha Wwakulima Kupitia Tafiti Zao.

yaani makala yote Mhandisi Methew Mtigumwe Azitaka Taasisi za Utafiti Nchini Kuwanufaisha Wwakulima Kupitia Tafiti Zao. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mhandisi Methew Mtigumwe Azitaka Taasisi za Utafiti Nchini Kuwanufaisha Wwakulima Kupitia Tafiti Zao. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/mhandisi-methew-mtigumwe-azitaka.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mhandisi Methew Mtigumwe Azitaka Taasisi za Utafiti Nchini Kuwanufaisha Wwakulima Kupitia Tafiti Zao."

Post a Comment

Loading...