Loading...

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Afungua Barabara ya ITIGI-MANYONI- CHAYA AKitokea Mkoani Tabora Akielekea Dodoma.

Loading...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Afungua Barabara ya ITIGI-MANYONI- CHAYA AKitokea Mkoani Tabora Akielekea Dodoma. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Afungua Barabara ya ITIGI-MANYONI- CHAYA AKitokea Mkoani Tabora Akielekea Dodoma., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Afungua Barabara ya ITIGI-MANYONI- CHAYA AKitokea Mkoani Tabora Akielekea Dodoma.
link : Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Afungua Barabara ya ITIGI-MANYONI- CHAYA AKitokea Mkoani Tabora Akielekea Dodoma.

soma pia


Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Afungua Barabara ya ITIGI-MANYONI- CHAYA AKitokea Mkoani Tabora Akielekea Dodoma.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Wananchi Kijiji Cha Tula Uyui Mkoani Tabora waliojitokeza Barabarani Kumsalimia akiwa njiani kuelekea Mkoani Dodoma akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni Tabora Julai 25,2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo akiwa njiani katika moja ya mikutano ya barabarani kwa  waliojitokeza  Kumsalimia akiwa njiani kuelekea Mkoani Dodoma akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni Tabora
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikaribishwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi wakati mheshimiwa Rais alipowasili Mkoani Singida eneo la Itigi ili kufungua Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5aliyojengwa na Serikali kwa asilimia mia moja,Mheshimiwa Rais alikuwa akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni Tabora
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Itigi na Manyoni wakati wa Ufunguzi wa  Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa  asilimia mia moja,Mheshimiwa Rais alikuwa akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni Tabora kwa Kupitia Singida hadi Makao Makuu ya Nchi Mkoani Dodoma
Wananchi wa Itigi na Manyoni wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwatubia kwenye Ufunguzi wa  Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa  asilimia mia moja,Mheshimiwa Rais alikuwa akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni Tabora kwa Kupitia Singida hadi Makao Makuu ya Nchi Mkoani Dodoma  
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Viongozi wengine wa Mkoa wa Singida na Tabora Wakikata Utepe kama ishara ya kufunguliwa Rasmi kwa  Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa  asilimia mia moja,Mheshimiwa Rais alikuwa akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni Tabora kwa Kupitia Singida hadi Makao Makuu ya Nchi Mkoani Dodoma
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wapili kushoto na Viongozi wengine wa Mkoa wa Singida,wakiondoa kitambaa kuashiria Kufunguliwa Rasmi kwa  Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa  asilimia mia moja,Mheshimiwa Rais alikuwa akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni Tabora kwa Kupitia Singida hadi Makao Makuu ya Nchi Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kulia akiteta jambo na Mwakilishi wa Kampuni ya PowerChina International Group Limited nchini Bw. Wang Chao wakati wa Ufunguzi wa  Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa  asilimia mia moja,Mheshimiwa Rais alikuwa akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni Tabora kwa Kupitia Singida hadi Makao Makuu ya Nchi Mkoani Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwashukuru na kuwasalimia kwa kupunga mikono kwa wananchi wa Itigi na Manyoni walioshiriki na Kushuhudia Ufunguzi wa  Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa  asilimia mia moja,Mheshimiwa Rais alikuwa akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni Tabora kwa Kupitia Singida hadi Makao Makuu ya Nchi Mkoani Dodoma  Julai 25,2017
Picha na Ikulu.


Hivyo makala Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Afungua Barabara ya ITIGI-MANYONI- CHAYA AKitokea Mkoani Tabora Akielekea Dodoma.

yaani makala yote Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Afungua Barabara ya ITIGI-MANYONI- CHAYA AKitokea Mkoani Tabora Akielekea Dodoma. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Afungua Barabara ya ITIGI-MANYONI- CHAYA AKitokea Mkoani Tabora Akielekea Dodoma. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/rais-wa-jamuhuri-ya-muungano-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Afungua Barabara ya ITIGI-MANYONI- CHAYA AKitokea Mkoani Tabora Akielekea Dodoma."

Post a Comment

Loading...