Loading...
title : NYUNDOZZZ ZAANZA KUTEMBEZWA MAJENGO YA WIZARA YA MAJI, UBUNGO JIJINI DAR
link : NYUNDOZZZ ZAANZA KUTEMBEZWA MAJENGO YA WIZARA YA MAJI, UBUNGO JIJINI DAR
NYUNDOZZZ ZAANZA KUTEMBEZWA MAJENGO YA WIZARA YA MAJI, UBUNGO JIJINI DAR
Baadhi ya Mafundi wa Mabomba ya maji, wakiendelea na zoezi la kuhamisha mabomba katika tenki la maji nje ya Majengo ya Wizara ya Maji, Ubungo jijini Dar es salaam ikiwa ni maandalizi ya kubomoa majengo hayo ili kupisha ujenzi wa barabara za juu, kufuatia agizo lililotolewa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
Fundi akikata moja ya Mabomba hayo.
Ubomoaji ukiendelea katika majengo ya Wizara ya Maji, Ubungo jijini Dar es salaam leo.
Matenki ya maji yakihamishwa kupisha bomoa bomoa.
Baadhi ya majengo yakiwa yameshatembezewa nyundozzz.
Hivyo makala NYUNDOZZZ ZAANZA KUTEMBEZWA MAJENGO YA WIZARA YA MAJI, UBUNGO JIJINI DAR
yaani makala yote NYUNDOZZZ ZAANZA KUTEMBEZWA MAJENGO YA WIZARA YA MAJI, UBUNGO JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NYUNDOZZZ ZAANZA KUTEMBEZWA MAJENGO YA WIZARA YA MAJI, UBUNGO JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/nyundozzz-zaanza-kutembezwa-majengo-ya.html
0 Response to "NYUNDOZZZ ZAANZA KUTEMBEZWA MAJENGO YA WIZARA YA MAJI, UBUNGO JIJINI DAR"
Post a Comment