Loading...
title : PAZIA LA MASHINDANO YA RIADHA YA KIGAMBONI MARATHONI LAFUNGULIWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
link : PAZIA LA MASHINDANO YA RIADHA YA KIGAMBONI MARATHONI LAFUNGULIWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
PAZIA LA MASHINDANO YA RIADHA YA KIGAMBONI MARATHONI LAFUNGULIWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
Mratibu wa Shindano la Kigamboni Marathoni,Dimo Debwe Mitiki akiwaonesha wana Habari Zawadi zitakazogawiwa kwa washindi wa mbio hizo zinazotarajiwa kufanyika Desemba 2 mwaka huu katika fukwe za Kigamboni jijini Dar es Salaaam
Mratibu Mwenza wa Mbio za Kigamboni Marathoni , Juma Mtetwa akifafanua juu ya mbio hizo jinsi zitakavyo fanyika na namna ya kujiandikisha kupitia Hospitali ya JPM Iliyopo Magomeni
Msemaji wa Chama Cha Riadha Nchini(RT), Tullo Chambo Akieleza namna chama hicho kilivyoshiriki katika kupima njia zote ambazo wakimbiaji watapita
Mkurugenzi wa Oparesheni wa kampuni ya uuzaji Viwanja ya Property International,George Obado akifafanua juu ya kampuni hiyo ilivyodhamini mbio hizo zitakazokimbiwa katika fukwe za Kimbiji Kigamboni.
Meneja Masoko wa Hospitali ya JPM iliyopo Magomeni Jijini Dar es Salaam,Mja Abeid akieleza namna hospitali hiyo itakavyoshiriki katika zoezi la upimaji wa afya kwa washiriki na kuuza fomu za wakimbiaji pamoja na kutoa huduma kwa watu watakaopata majeruhi
Waandaaji wa Mbio za Kigamboni Marathoni wakiwa katika picha ya Pamoma mara baada ya kumalizika kwa mkutano wao na Waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo
--
Hivyo makala PAZIA LA MASHINDANO YA RIADHA YA KIGAMBONI MARATHONI LAFUNGULIWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote PAZIA LA MASHINDANO YA RIADHA YA KIGAMBONI MARATHONI LAFUNGULIWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PAZIA LA MASHINDANO YA RIADHA YA KIGAMBONI MARATHONI LAFUNGULIWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/pazia-la-mashindano-ya-riadha-ya.html
0 Response to "PAZIA LA MASHINDANO YA RIADHA YA KIGAMBONI MARATHONI LAFUNGULIWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment