Loading...

NSSF NA NBC KUENDELEZA MAHUSIANO MAZURI YA KIBIASHARA

Loading...
NSSF NA NBC KUENDELEZA MAHUSIANO MAZURI YA KIBIASHARA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NSSF NA NBC KUENDELEZA MAHUSIANO MAZURI YA KIBIASHARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NSSF NA NBC KUENDELEZA MAHUSIANO MAZURI YA KIBIASHARA
link : NSSF NA NBC KUENDELEZA MAHUSIANO MAZURI YA KIBIASHARA

soma pia


NSSF NA NBC KUENDELEZA MAHUSIANO MAZURI YA KIBIASHARA


Uongozi wa Benki ya NBC umetembelea Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu yenye lengo la kuendeleza na kukuza uhusiano mzuri uliopo baina ya Benki na shirika hilo.

Mkurugenzi Mtendaji wa NBC Bwana Theobald Sabi katika mazungumzo alisema benki hiyo ni miongoni mwa taasisi ambayo serikali imeweka hisa zake na inajivunia kufanya kazi na NSSF,kwani alisema Benki yake inaendeshwa kisasa zaidi ambapo katika kuhakikisha wanahudumia wananchi kwa haraka NBC wana huduma ya “mobile banking” inayoweza kuwafikia wananchi wengi waliopo vijijini wakiwemo wastaafu wa NSSF.

Kwa upande wake Mkurugenzi mkuu wa NSSF Bwana William Erio aliishukuru NBC kwa kuifanya NSSF kuwa mteja wake mkubwa zaidi katika huduma za kibenki na kuwashukuru kwa kuwa tayari kutoa ushauri wa kitaalamu utakaohitajika na Shirika kwa sasa katika boresha huduma zao.

Hata hivyo Bwana Erio aliwahakikishia uongozi wa NBC kwamba ushirikiano uliopo utaendelea kuimarika chini ya uongozi wake na alissitiza kuhakikisha mifumo ya fedha za wananchama inaendelea kuwa salama na kutumika kwa maendeleo ya Taifa. Pia alishukuru NBC kwa kuendelea kutoa riba ya asilimia tano kwenye akaunti ya makusaanyo kutoka kwa wanachama wa NSSF.

NBC imekuwa Benki ya nne kuweza kutembelea katika Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ambapo benki nyingine ni pamoja na CRDB,NMB na UBA ambazo wote kwa pamoja wamekutana na NSSF na kupanga namna ya kuimarisha uhusiano wa kibiashara.
Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF na ujumbe wake (kushoto) akiwa na ujumbe wa Menejimenti ya Benki ya Taifa ya Biashara nchini NBC(kulia) ulioongozwa na Mkurugenzi mtendaji Theobald Sabi wakifurahia jambo kwenye mazungumzo yao yaliyofanyika katika makoa makuu ya NSSF jijini Dar es salaam ambapo kwa pamoja wamekubaliana kuendeleza mahusiano yao ya kibiashara.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) , Bwana William Erio( katikati) akiwa na Menejimenti ya Benki ya Taifa ya Biashara,kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa NBC Theobald Sabi na wajumbe nane wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa mazungumzo makuu ya NSSF jijini Dar es salaam.(Watatu kulia ni Mkurugenzi wa Fedha wa NSSF Bwana Gambamala Luchunga na wa kwanza kushoto ni Meneja kiongozi wa Masoko na Uhusiano wa NSSF Bi.Lulu Mengele.)


Hivyo makala NSSF NA NBC KUENDELEZA MAHUSIANO MAZURI YA KIBIASHARA

yaani makala yote NSSF NA NBC KUENDELEZA MAHUSIANO MAZURI YA KIBIASHARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NSSF NA NBC KUENDELEZA MAHUSIANO MAZURI YA KIBIASHARA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/nssf-na-nbc-kuendeleza-mahusiano-mazuri.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NSSF NA NBC KUENDELEZA MAHUSIANO MAZURI YA KIBIASHARA"

Post a Comment

Loading...