Loading...
title : SEMINA YA WABUNGE WA KAMATI TATU ZA BUNGE YAFANYIKA MJINI DODOMA
link : SEMINA YA WABUNGE WA KAMATI TATU ZA BUNGE YAFANYIKA MJINI DODOMA
SEMINA YA WABUNGE WA KAMATI TATU ZA BUNGE YAFANYIKA MJINI DODOMA
Ndugu Serafine Tamba akitoa mada kuhusu Mchakato wa Utungaji Sheria katika Semina ya Wabunge wa Kamati ya Kamati ya Katiba na Sheria, Kamati ya Sheria Ndogo na Kamati Mambo Nje, Ulinzi na Usalama.
Wajumbe wa Kamati tatu za Bunge wakifuatiliana mada kuhusu mchakato wa Utungaji Sheria kutoka kwa Ndugu Serafine Tamba katika Semina ya Wabunge iliyofanyika Mjini Dodoma. Wajumbe wa Kamati zilizohudhuria Semina hiyo ni Kamati ya Katiba na Sheria, Kamati ya Sheria Ndogo na Kamati Mambo Nje, Ulinzi na Usalama.
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati za Bunge zilizoshiriki Semina kuhusu Mchakato wa Utungaji Sheria wakifuatilia mada katika Semina iliyofanyika Mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Sheria Ndogo, Mheshimiwa Andrew Chenge akitoa mchango wake Katika Semina ya Wabunge iliyofanyika Mjini Dodoma. Wajumbe wa Kamati zilizohudhuria Semina hiyo ni Kamati ya Katiba na Sheria, Kamati ya Sheria Ndogo na Kamati Mambo Nje, Ulinzi na Usalama.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Balozi Adadi Rajabu akizungumza katika Semina ya Wabunge wa Kamati ya Katiba na Sheria, Kamati ya Sheria Ndogo na Kamati Mambo Nje, Ulinzi na Usalama iliyofanyika Mjini Dodoma.Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba na Sheria Mohamed Mchengelwa
Hivyo makala SEMINA YA WABUNGE WA KAMATI TATU ZA BUNGE YAFANYIKA MJINI DODOMA
yaani makala yote SEMINA YA WABUNGE WA KAMATI TATU ZA BUNGE YAFANYIKA MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SEMINA YA WABUNGE WA KAMATI TATU ZA BUNGE YAFANYIKA MJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/semina-ya-wabunge-wa-kamati-tatu-za.html
0 Response to "SEMINA YA WABUNGE WA KAMATI TATU ZA BUNGE YAFANYIKA MJINI DODOMA"
Post a Comment