Loading...

TUNATAKA MAAFISA HABARI NCHINI WAWE NA UELEWA WA MASUALA YA SIASA NA UCHUMI - DKT. HASSAN ABBAS

Loading...
TUNATAKA MAAFISA HABARI NCHINI WAWE NA UELEWA WA MASUALA YA SIASA NA UCHUMI - DKT. HASSAN ABBAS - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TUNATAKA MAAFISA HABARI NCHINI WAWE NA UELEWA WA MASUALA YA SIASA NA UCHUMI - DKT. HASSAN ABBAS, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TUNATAKA MAAFISA HABARI NCHINI WAWE NA UELEWA WA MASUALA YA SIASA NA UCHUMI - DKT. HASSAN ABBAS
link : TUNATAKA MAAFISA HABARI NCHINI WAWE NA UELEWA WA MASUALA YA SIASA NA UCHUMI - DKT. HASSAN ABBAS

soma pia


TUNATAKA MAAFISA HABARI NCHINI WAWE NA UELEWA WA MASUALA YA SIASA NA UCHUMI - DKT. HASSAN ABBAS

Na: Lilian Lundo - MAELEZO, Dodoma.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari ya MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas  amesema Maafisa Habari na Mawasiliano hapa nchini wanatakiwa kuwa na uelewa wa masuala mbalimbali ikiwemo Uchumi, siasa na jamii katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku.

Dkt. Abbas ameyasema hayo leo, Mjini Dodoma alipokuwa akifungua mafunzo ya Itifaki na Mawasiliano ya Kimkakati kwa Maafisa Habari na Mawasiliano kutoka Taasisi za Umma na Sekta Binafsi yaliyoandaliwa na Idara ya Habari MAELEZO kwa kushirikiana na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) na  Washauri wa Kidiplomasia wa Kiuchumi (Economic Diplomacy Consultants).

 "Itifaki ni moja ya eneo ambalo Afisa Habari yoyote anatakiwa kulijua kwa undani kutokana na jukumu alilonalo la kusimamia matukio mbalimbali yanayotokea katika Taasisi yake," alisema Dkt. Abbas.

Ameendelea kwa kusema, kuna kipindi Afisa Habari anapata wageni ambao ni wakuu wa nchi na kushindwa kujua namna ya viongozi hao wanavyotakiwa kukaa kutokana na vyeo vyao.Aidha, amesema kuwa mafunzo hayo ni muendelezo wa mafunzo mengine mengi ambayo Maafisa hao watakuwa wakiyapata kila wakati ili kuwapa uelewa katika maeneo mbalimbali ya masuala ya uchumi, siasa, jamii na katika sekta yenyewe ya mawasiliano.     

"Itafika kipindi tutajifunza hata vyeo vya jeshi namna vinavyokuwa pamoja na majina ya vyeo vyao ambapo itarahisisha katika utekelezaji wa majukumu ya kila siku ya Maafisa Habari," alisema Dkt. Abbas.
Mafunzo hayo ya Maafisa Habari na Mawasiliano  ni ya siku mbili ambayo yameanza leo Novemba 23 na yanatarajia kumalizika kesho Novemba 24, 2017.
 Mkurugenzi  Idara ya Habari Maelezo na Msemaji  Mkuu  wa Serikali Dkt. Hassan Abbas akifungua mafunzo kuhusu Mawasiliano ya Kimkakati na Itifaki  kwa Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali na Sekta Binafsi  (hawapo pichani) yanayofanyika kwa siku mbili  mjini Dodoma.
Mkurugenzi  Idara ya Habari Maelezo na Msemaji  Mkuu  wa Serikali Dkt. Hassan Abbas akiongea na Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali na Sekta Binafsi wakati ufunguzi wa mafunzo yanayofanyika kwa siku mbili  mjini Dodoma.(Picha zote na Frank Mvungi- Maelezo Dodoma)


Hivyo makala TUNATAKA MAAFISA HABARI NCHINI WAWE NA UELEWA WA MASUALA YA SIASA NA UCHUMI - DKT. HASSAN ABBAS

yaani makala yote TUNATAKA MAAFISA HABARI NCHINI WAWE NA UELEWA WA MASUALA YA SIASA NA UCHUMI - DKT. HASSAN ABBAS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TUNATAKA MAAFISA HABARI NCHINI WAWE NA UELEWA WA MASUALA YA SIASA NA UCHUMI - DKT. HASSAN ABBAS mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/tunataka-maafisa-habari-nchini-wawe-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TUNATAKA MAAFISA HABARI NCHINI WAWE NA UELEWA WA MASUALA YA SIASA NA UCHUMI - DKT. HASSAN ABBAS"

Post a Comment

Loading...