Loading...
title : ZANTEL YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU KUPAMBANA NA MAKOSA YA KUGHUSHI
link : ZANTEL YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU KUPAMBANA NA MAKOSA YA KUGHUSHI
ZANTEL YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU KUPAMBANA NA MAKOSA YA KUGHUSHI
Afisa Mtendaji Mkuu wa Zantel Sherif El Barbary akizungumza katika maadhimisho ya wiki ya kupambana na makosa ya kughushi yaliyohudhuriwa pia na maafisa kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) yaliyofanyika katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Meneja wa Zantel anayeshughulikia masuala ya Afya, Usalam na Ulinzi Nashon Mudala.
Meneja wa Zantel anayeshughulikia masuala ya Afya, Usalama na Ulinzi Nashon Mudala akizungumza wakati wa maadhimisho ya wiki ya kupambana na makosa ya kughushi yaliyohudhuriwa pia na maafisa kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) yaliyofanyika katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Pamoja naye ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Zantel Sherif El Barbary.
Afisa wa Kampuni ya Zantel Hamid Mohamed Bakar akizungumza wakati wa maadhimisho ya wiki ya kupambana na makosa ya kughushi yaliyohudhuriwa pia na maafisa kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa kitengo cha Rasilimali watu Joanitha Rwegasira Mrengo akizungumza katika maadhimisho ya wiki ya kupambana na makosa ya kughushi yaliyohudhuriwa pia na maafisa kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) yaliyofanyika katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Zantel Sherif El Barbary.
Hivyo makala ZANTEL YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU KUPAMBANA NA MAKOSA YA KUGHUSHI
yaani makala yote ZANTEL YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU KUPAMBANA NA MAKOSA YA KUGHUSHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ZANTEL YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU KUPAMBANA NA MAKOSA YA KUGHUSHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/zantel-yashiriki-maadhimisho-ya-siku.html
0 Response to "ZANTEL YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU KUPAMBANA NA MAKOSA YA KUGHUSHI"
Post a Comment