Loading...
title : WAZIRI UMMY: WANANCHI WASIUZIWE DAMU
link : WAZIRI UMMY: WANANCHI WASIUZIWE DAMU
WAZIRI UMMY: WANANCHI WASIUZIWE DAMU
Mwambawahabari
Waziri Wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu aliyesimama akiongea na baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Mifupa nchini MOI wakati wa uzinduzi wa Benki ya damu iliyodhaminiwa na Ubalozi wa Kuwait leo jijini Dar es salaam, Kulia ni Balozi wa Kuwait Bw. Jasem Ibrahim Al-Najem.
Balozi wa Kuwait Bw. Jasem Ibrahim Al-Najem aliyesimama akiongea na baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Mifupa nchini MOI wakati wa uzinduzi wa Benki ya damu iliyodhaminiwa na Ubalozi wa Kuwait leo jijini Dar es salaam , katikati waliokaa ni Waziri Wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu na anayefuata ni Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Dkt. Respicious Lwezimula.
Balozi wa Kuwait Bw. Jasem Ibrahim Al-Najem kulia akimkabidhi zawadi ya mchango mkubwa katika Wizara ya Afya Mhe. Ummy Mwalimu kushoto wakati wa uzinduzi wa Benki ya damu iliyodhaminiwa na Ubalozi wa Kuwait leo jijini Dar es salaam.
Waziri Wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akizindua Benki ya damu iliyodhaminiwa na Ubalozi wa Kuwait leo jijini Dar es salaam akiwa na Balozi wa Kuwait Bw. Jasem Ibrahim Al-Najem
Hivyo makala WAZIRI UMMY: WANANCHI WASIUZIWE DAMU
yaani makala yote WAZIRI UMMY: WANANCHI WASIUZIWE DAMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI UMMY: WANANCHI WASIUZIWE DAMU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/waziri-ummy-wananchi-wasiuziwe-damu.html
0 Response to "WAZIRI UMMY: WANANCHI WASIUZIWE DAMU"
Post a Comment