Loading...

DC Mjema awataka wataka Wanawake Ilala kuchangamkia fursa

Loading...
DC Mjema awataka wataka Wanawake Ilala kuchangamkia fursa - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC Mjema awataka wataka Wanawake Ilala kuchangamkia fursa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC Mjema awataka wataka Wanawake Ilala kuchangamkia fursa
link : DC Mjema awataka wataka Wanawake Ilala kuchangamkia fursa

soma pia


DC Mjema awataka wataka Wanawake Ilala kuchangamkia fursa


Na Heri Shaaban
Mwambawahabari
MKUU wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema ,amewataka wanawake wa Wilaya hiyo kuchangamkia fursa na kujiunga katika jukwaa la Wanawake la wilaya.

Sophia Mjema aliyasema hayo wakati wa ufunguzi wa Ofisi ya kuweka na Kukopa(VICOBA ) kata ya Minazi Mirefu Wilaya ya Ilala.

"  Makamu wa Rais alizindua jukwaa la Taifa la wanawake na hivi juzi tumezindua jukwaa la Mkoa wa Dar es Salaam sasa hivi tunatarajia kuzindua ngazi ya Wilaya hivyo wanawake wenzangu mtumie fursa hiyo kujiunga muweze kutambulika  katika vikundi Tanzania ya Viwanda inawezekana hasa wilaya yetu" alisema Mjema.

Alisema majukwa hayo yanazinduliwa kwa ajili ya kutambua mchango wa wanawake utafikia ngazi ya kata hadi mtaa kwa kujali mchango wa wanawake

 Akizungumzia vikundi Tisa vya Vicoba Minazi Mirefu aliwataka wakopeshane fedha na kurejesha ili wengine waweze kukopa pia wakumbuke kufungua akaunti benki kwa ajili ya kuweka Akiba .

Aidha alisema Wilaya ya Ilala itawapa Maofisa Ushirika kwa ajili ya kuwapa ELIMU hiyo.

Aliwataka wazalishe viwanda vidogo vidogo vya Batiki, mashati na bidhaa zingine zitakazo waingizia kipato  watashirikia na wilaya ya Ilala.

Alisema muda umefika kwa Wanawake kujikwamua kiuchumi hasa wilaya hiyo fursa zipo na ujuzi wanao hivyo wamke waweze kujikwamua wakiwa na bidhaa nzuri wateja watapatikana fedha zipo .

Alimpongeza Rais wa Vicoba Taifa Devota Likokola kwa kuwapa mbinu hiyo wanawake nchini na kuweza kupiga hatua.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Vicoba Hadija Magube alisema wana vikundi 14 na jumla ya Wanachama 395 mpaka sasa wanapeana mkopo hadi milioni 5 hawajawai kukopa benki.

Hadija alisema vikundi vya vilianza rasmi mwaka 2013 wakiwa wanachama  hai wawili  kwa sasa wapo  395 lengo kuu waanze kufuga kuku wa kienyeji wamepata eneo ambalo watapanga.

  " Tunawapongeza viongozi wetu wa vicoba Rais wa vicoba Makamu wa Rais wa Vicoba Scholastika Kevela  kwa uhamasishaji wao mkubwa katika mpango wa vicoba endelevu.

Mwisho


Hivyo makala DC Mjema awataka wataka Wanawake Ilala kuchangamkia fursa

yaani makala yote DC Mjema awataka wataka Wanawake Ilala kuchangamkia fursa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC Mjema awataka wataka Wanawake Ilala kuchangamkia fursa mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/dc-mjema-awataka-wataka-wanawake-ilala.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC Mjema awataka wataka Wanawake Ilala kuchangamkia fursa"

Post a Comment

Loading...