Loading...

YALIYOSEMWA NA DK. HASSAN ABBAS KATIKA KIPINDI CHA VIJANA TZ JUU YA MAFANIKIO /UTENDAJI WA SERIKALI NA CHANGAMOTO KATIKA TASNIA YA HABARI

Loading...
YALIYOSEMWA NA DK. HASSAN ABBAS KATIKA KIPINDI CHA VIJANA TZ JUU YA MAFANIKIO /UTENDAJI WA SERIKALI NA CHANGAMOTO KATIKA TASNIA YA HABARI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa YALIYOSEMWA NA DK. HASSAN ABBAS KATIKA KIPINDI CHA VIJANA TZ JUU YA MAFANIKIO /UTENDAJI WA SERIKALI NA CHANGAMOTO KATIKA TASNIA YA HABARI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : YALIYOSEMWA NA DK. HASSAN ABBAS KATIKA KIPINDI CHA VIJANA TZ JUU YA MAFANIKIO /UTENDAJI WA SERIKALI NA CHANGAMOTO KATIKA TASNIA YA HABARI
link : YALIYOSEMWA NA DK. HASSAN ABBAS KATIKA KIPINDI CHA VIJANA TZ JUU YA MAFANIKIO /UTENDAJI WA SERIKALI NA CHANGAMOTO KATIKA TASNIA YA HABARI

soma pia


YALIYOSEMWA NA DK. HASSAN ABBAS KATIKA KIPINDI CHA VIJANA TZ JUU YA MAFANIKIO /UTENDAJI WA SERIKALI NA CHANGAMOTO KATIKA TASNIA YA HABARI

“Ofisi yangu ina jukumu la kutoa taarifa sahihi na kwa wakati ya Serikali; Kusajili na kufungua Magazeti; Kusaidia Watu wa mifumo mingine ya Serikali kusema” – Dk. H.A @TZ_MsemajiMkuu

“Uhuru wa vyombo vya habari upo wa kutosha. Serikali imeruhusu uhuru wa Vyombo vya habari. Kuna Redio zaidi ya 150, tuna redio zaidi ya 30, kuna Magazeti zaidi ya 110 yanayotoka nchini” – Dk. H.A @TZ_MsemajiMkuu

“Serikali ina simamia Wananchi wapate habari sahihi na si kulishwa habari mbovu. Serikali tunalisimamia hili” – Dk. H.A @TZ_MsemajiMkuu.“Changamoto iliyopo ni kuhakikisha habari zsahihi zinawafikia Watu wote kwa wakati” – Dk. H.A @TZ_MsemajiMkuu

“Rais @MagufuliJP amefanikiwa sana kuleta mageuzi ya kifikra. Kujenga hari ya Uzalendo, nidhamu, uwajibikaji kwa Watu wake wakiwemo Watumishi wa Umma na Wananchi” – Dk. H.A @TZ_MsemajiMkuu.“Rais @MagufuliJP ameleta nidhamu kubwa ya matumizi ya fedha za umma. Mathalani amefanikiwa kudhibiti safari za nje zisizo na tija” – Dk. H.A @TZ_MsemajiMkuu

“Hapo nyuma zilitumika bilioni zaidi ya 200 kwa safari tu wakati hivi sasa zimetumika bilioni 25 tu kwa safari tumeokoa pesa nyingi”@TZ_MsemajiMkuu

“Rais @MagufuliJP ameleta mageuzi ya kudhibiti Wafanyakazi hewa zaidi ya 20,000 na kuokoa zaidi ya Tsh. Bilioni 238. Ni mageuzi makubwa” – Dk. H.A @TZ_MsemajiMkuu

“Tumeondoa wafanyakazi hewa takribani elfu 20 kwa zoezi hilo tumeokoa bilioni 238” @TZ_MsemajiMkuu.“Hawa wanaopiga kelele juu ya mageuzi ya rasilimali za madini. Ipo siku watanyamaza wakiona manufaa ya wazi. Serikali ya @MagufuliJP imeonyesha uzalendo kwenye madini” – Dk. H.A @TZ_MsemajiMkuu.“Zipo nchi kubwa duniani awapati 50/50 kwenye Madini sisi tumeweza @TZ_MsemajiMkuu



Hivyo makala YALIYOSEMWA NA DK. HASSAN ABBAS KATIKA KIPINDI CHA VIJANA TZ JUU YA MAFANIKIO /UTENDAJI WA SERIKALI NA CHANGAMOTO KATIKA TASNIA YA HABARI

yaani makala yote YALIYOSEMWA NA DK. HASSAN ABBAS KATIKA KIPINDI CHA VIJANA TZ JUU YA MAFANIKIO /UTENDAJI WA SERIKALI NA CHANGAMOTO KATIKA TASNIA YA HABARI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala YALIYOSEMWA NA DK. HASSAN ABBAS KATIKA KIPINDI CHA VIJANA TZ JUU YA MAFANIKIO /UTENDAJI WA SERIKALI NA CHANGAMOTO KATIKA TASNIA YA HABARI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/yaliyosemwa-na-dk-hassan-abbas-katika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "YALIYOSEMWA NA DK. HASSAN ABBAS KATIKA KIPINDI CHA VIJANA TZ JUU YA MAFANIKIO /UTENDAJI WA SERIKALI NA CHANGAMOTO KATIKA TASNIA YA HABARI"

Post a Comment

Loading...