Loading...
title : Benki ya TPB yachezesha droo ya pili ya Western Union
link : Benki ya TPB yachezesha droo ya pili ya Western Union
Benki ya TPB yachezesha droo ya pili ya Western Union
Benki ya TPB Desemba 21, 2017 imechezesha droo ya pili ya Western Union na kupata washindi 7 kutoka matawi mbalimbali . Washindi 5 walipata simu za mkononi na 2 walipata kompyuta mpakato.
Majina hayo yalitajwa na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa benk hiyo Bw. Mshamma Mshamma na kusimamiwa na Mwakilishi kutoka Baraza la Michezo ya Bahati Nasibu Tanzania, Abdallah Hemed.
Washindi waliojishindia simu za mkononi aina ya Samsung J5 ni Bi. Elizabeth Lugendo kutoka Dar es Salaam, Bw.Frank Tetea kutoka Korogwe Tanga, Bw, Jafari Msaki kutoka Arusha, Bi. Rose Maluka kutoka Dodoma na B. Anna Kasoga kutoka Ifakara -Morogoro.
Washindi wawili waliojishindia kompyuta mpakato ni Bw. Justine Muyanza kutoka Mwanza na Bw. Abdul Hurey kutoka Arusha.
Moja ya mfanyakazi wa benki hiyo akichanganya kuponi za droo ya pili Western Union wakati wa kumtafuta mshindi wa droo hiyo ilifanyika Dar es Salaam jana.
Meneja wa huduma ya Western Union kutoka Benki ya TPB. Editha Lunyungu kushoto akihakiki majina ya washindi kwenye kopyuta mpakato wakati wa kumtafuta mshindi wa droo ya pili Western Union wakati wa kumtafuta mshindi wa droo hiyo ilifanyika Dar es Salaam jana.
Kaimu ofisa Mtendaji Mkuu kutoka Benki ya TPB, Bw. Mshamma Mshamma (kushoto) akisoma jina la mshindi katika droo ya pili ya Western union. kulia anae shuhudia ni mwakilishi kutoka Mwakilishi kutoka Baraza la Michezo ya Bahati Nasibu Tanzania, Abdallah Hemed.
Picha ya pamoja
Hivyo makala Benki ya TPB yachezesha droo ya pili ya Western Union
yaani makala yote Benki ya TPB yachezesha droo ya pili ya Western Union Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Benki ya TPB yachezesha droo ya pili ya Western Union mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/benki-ya-tpb-yachezesha-droo-ya-pili-ya.html
0 Response to "Benki ya TPB yachezesha droo ya pili ya Western Union"
Post a Comment