Loading...

JESHI LA MAGEREZA LAZINDUA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO (2019-2023) DHIDI YA HIV/AIDS NA TB

Loading...
JESHI LA MAGEREZA LAZINDUA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO (2019-2023) DHIDI YA HIV/AIDS NA TB - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JESHI LA MAGEREZA LAZINDUA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO (2019-2023) DHIDI YA HIV/AIDS NA TB, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JESHI LA MAGEREZA LAZINDUA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO (2019-2023) DHIDI YA HIV/AIDS NA TB
link : JESHI LA MAGEREZA LAZINDUA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO (2019-2023) DHIDI YA HIV/AIDS NA TB

soma pia


JESHI LA MAGEREZA LAZINDUA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO (2019-2023) DHIDI YA HIV/AIDS NA TB

Kamishna wa Huduma za Urekebishaji wa Jeshi la Magereza Augustine Mboje,ambaye alimuwakilisha Kamishna Jenerali wa Magereza (wa tatu toka kulia) akikata utepe kuzindua Mpango Mkakati wa miaka mitano dhidi ya HIV,AIDS na TB.
Kamishna wa Huduma za Urekebishaji wa Jeshi la Magereza Augustine Mboje,ambaye alimuwakilisha Kamishna Jenerali wa Magereza, akifungua kikao cha Mpango Mkakati wa miaka mitano dhidi ya HIV,AIDS na TB kwenye ukumbi wa kivukoni katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam tarehe 18 December 2018. Aliyekaa ni Kamishna wa Mafunzo Zanzibar, Ally Abdala.
Kamishna wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar, Ally Abdala akichangia mada kwenye mjadala wa Mpango Mkakati wa miaka mitano dhidi ya HIV, AIDS na TB.
Daktari Fulgency Binagwa akitoa semina ya Mpango Mkakati wa miaka mitano dhidi ya HIV,AIDS na TB kwenye ukumbi wa kivukoni katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Afisa Mradi Kitaifa wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayopambana dhidi ya madawa ya kulevya na uhalifu Bi. Immaculate Nyoni akimshukuru  Kamishna wa Huduma za Urekebishaji wa Jeshi la Magereza Augustine Mboje kwa kuzindua Mpango Mkakati dhidi ya HIV,AIDS na TB.
 Kamishna wa Huduma za Urekebishaji wa Jeshi la Magereza Augustine Mboje (wa tatu toka kushoto,walioketi) akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau waliowezesha kukamilika kwa Mpango Mkakati wa miaka mitano dhidi ya HIV,AIDS na TB katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Picha zote na Jeshi la Magereza

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala JESHI LA MAGEREZA LAZINDUA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO (2019-2023) DHIDI YA HIV/AIDS NA TB

yaani makala yote JESHI LA MAGEREZA LAZINDUA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO (2019-2023) DHIDI YA HIV/AIDS NA TB Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JESHI LA MAGEREZA LAZINDUA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO (2019-2023) DHIDI YA HIV/AIDS NA TB mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/jeshi-la-magereza-lazindua-mpango.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JESHI LA MAGEREZA LAZINDUA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO (2019-2023) DHIDI YA HIV/AIDS NA TB"

Post a Comment

Loading...