Loading...
title : CCM MKOA WAPATA VIONGOZI WAPYA ,WAPANIA KUREJESHA MAJIMBO YALIYOCHUKULIWA NA UPINZANI.
link : CCM MKOA WAPATA VIONGOZI WAPYA ,WAPANIA KUREJESHA MAJIMBO YALIYOCHUKULIWA NA UPINZANI.
CCM MKOA WAPATA VIONGOZI WAPYA ,WAPANIA KUREJESHA MAJIMBO YALIYOCHUKULIWA NA UPINZANI.
Mwambawahabari
Dar es Salaam. Msimamizi wa uchaguzi mkuu wa chama cha CCM Mkoa wa Dar es salaam,Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Willium Lukuvi amemtangaza Mwenyeki wa CCM mkoa wa Dar es Salaam,Kate Sylvia Kamba ameshinda kwa kura 443.
Dar es Salaam. Msimamizi wa uchaguzi mkuu wa chama cha CCM Mkoa wa Dar es salaam,Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Willium Lukuvi amemtangaza Mwenyeki wa CCM mkoa wa Dar es Salaam,Kate Sylvia Kamba ameshinda kwa kura 443.
Lukuvi ameyasema hayo wakati wa Mkutano mkuu wa CCM wa mkoa huo amesema wengine wamegombea kwenye nafasi ya Halmashauri Kuu ya Mkoa kutoka wilaya ya Ilala ni Abdallah Othmani amepata kura 182 na Mashaka Nyadhi kura 215, wilaya ya Temeke ameshinda Msagati Omary 242 na Maulid Ramadhani 207.
Wengine kutoka wilaya ya kigamboni Hawa Sangi amepata kura 435 na Moses Mtengu ni 435 na wilaya na wilaya ya Ubungo ameshinda Paul Sigoli 124 na Issa mtemvu 343 na wilaya ya Kinondoni ameshinda Iddi Azzan ameshinda kura 275 na Rashid Mohamedi kura 176.
Waliogombea nafasi ya Halmashauri Kuu ya Taifa anayewakilisha mkoa wa Dar es Salaam ameshinda Yusuph Nassoro amepata kura 245.
Lukuvi amesema ushindi walioupata katika chaguzi ndogo za madiwani ni kuonyesha kwamba wananchi wameikubali CCM na kuwataka viongozi hao kufanya kazi kwa uadilifu kutatua kero za wananchi ili waweze kupata ushindi mkubwa wa mwaka 2020.
"Niwapongeze viongozi wote waliochagulia kushika nafasi za udiwani katika kata 42 pamoja na viongozi waliochaguliwa nafasi mbalimbali ndani ya CCM,amesema Lukuvi"
Baada ya kucha guliwa kuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es salaam Kate Sylyvia Kamba amewashukuru wajumbe hao kwa kumchagua, amewahimiza wanachama hao kushirikiana viongozi wa serikali na kuwatiamoyo wanapo fanya mambo mazuri kwaajili ya maendeleo ya wananchi
Hivyo makala CCM MKOA WAPATA VIONGOZI WAPYA ,WAPANIA KUREJESHA MAJIMBO YALIYOCHUKULIWA NA UPINZANI.
yaani makala yote CCM MKOA WAPATA VIONGOZI WAPYA ,WAPANIA KUREJESHA MAJIMBO YALIYOCHUKULIWA NA UPINZANI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CCM MKOA WAPATA VIONGOZI WAPYA ,WAPANIA KUREJESHA MAJIMBO YALIYOCHUKULIWA NA UPINZANI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/ccm-mkoa-wapata-viongozi-wapya-wapania.html
0 Response to "CCM MKOA WAPATA VIONGOZI WAPYA ,WAPANIA KUREJESHA MAJIMBO YALIYOCHUKULIWA NA UPINZANI."
Post a Comment