Loading...

IGP SIRRO AKAGUA NA KUSHIRIKI MAZOEZI YA UKAKAMAVU NA ASKARI WA MKOA WA TABORA.

Loading...
IGP SIRRO AKAGUA NA KUSHIRIKI MAZOEZI YA UKAKAMAVU NA ASKARI WA MKOA WA TABORA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IGP SIRRO AKAGUA NA KUSHIRIKI MAZOEZI YA UKAKAMAVU NA ASKARI WA MKOA WA TABORA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IGP SIRRO AKAGUA NA KUSHIRIKI MAZOEZI YA UKAKAMAVU NA ASKARI WA MKOA WA TABORA.
link : IGP SIRRO AKAGUA NA KUSHIRIKI MAZOEZI YA UKAKAMAVU NA ASKARI WA MKOA WA TABORA.

soma pia


IGP SIRRO AKAGUA NA KUSHIRIKI MAZOEZI YA UKAKAMAVU NA ASKARI WA MKOA WA TABORA.

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wa tatu toka kulia alishiriki  mazoezi ya utayari na kuwatia hamasa Askari wa  Mkoa wa Tabora,  katika ziara yake ya siku moja mkoani humo, hatua hiyo ni kutokana na kuwataka askari wa Jeshi la Polisi kuwa na utayari wakati wote .  Picha na Jeshi la Polisi.
 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akiwa amembeba Joshua mtoto wa muumini wa kanisa la Siroham mkoani Tabora kabla ya uzinduzi wa zahanati ya Polisi iliyojengwa kwa hisani ya kanisa hilo.  Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wa tatu kutoka kushoto akiangalia  mmoja wa askari wa Jeshi la Polisi akiwa katika mazoezi ya utayari kupita juu ya kamba mkoani Tabora .  Picha na Jeshi la Polisi.


Hivyo makala IGP SIRRO AKAGUA NA KUSHIRIKI MAZOEZI YA UKAKAMAVU NA ASKARI WA MKOA WA TABORA.

yaani makala yote IGP SIRRO AKAGUA NA KUSHIRIKI MAZOEZI YA UKAKAMAVU NA ASKARI WA MKOA WA TABORA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AKAGUA NA KUSHIRIKI MAZOEZI YA UKAKAMAVU NA ASKARI WA MKOA WA TABORA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/igp-sirro-akagua-na-kushiriki-mazoezi_12.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IGP SIRRO AKAGUA NA KUSHIRIKI MAZOEZI YA UKAKAMAVU NA ASKARI WA MKOA WA TABORA."

Post a Comment

Loading...