Loading...

KHERI APOKELEWA KWA KISHINDO MKOANI DODOMA

Loading...
KHERI APOKELEWA KWA KISHINDO MKOANI DODOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KHERI APOKELEWA KWA KISHINDO MKOANI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KHERI APOKELEWA KWA KISHINDO MKOANI DODOMA
link : KHERI APOKELEWA KWA KISHINDO MKOANI DODOMA

soma pia


KHERI APOKELEWA KWA KISHINDO MKOANI DODOMA

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi ndg:Kheri D James akizungumza na Vijana wa mkoa wa dodoma katika hafla ya kumkaribisha iliofanyika makao makuu ya CCM DODOMA.

Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha mapinduzi ndg:Thabia Mwita akizungumza na vijana wa Umoja wa Vijana wa chama cha mapinduzi katika viwanja vya makao makuu ya ccm dodoma.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg:Kheri D James (katikati) akiwasili Ofisi za Makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa kushoto kwake ni Ndg Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Shaka Hamdu Shaka.
Ndg:Rodrick Mpogolo Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi akimpokea Mwenyekit wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi alipowasili Makao makuu ya chama cha mapinduzi.
Vijana wakisikiliza kwa umakini hotuba ya mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi ndg:Kheri D James.
PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala KHERI APOKELEWA KWA KISHINDO MKOANI DODOMA

yaani makala yote KHERI APOKELEWA KWA KISHINDO MKOANI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KHERI APOKELEWA KWA KISHINDO MKOANI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/kheri-apokelewa-kwa-kishindo-mkoani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KHERI APOKELEWA KWA KISHINDO MKOANI DODOMA"

Post a Comment

Loading...