Loading...

VIONGOZI YANGA WAWAITA YONDAN,KESSY OFISINI KWA ABASS TARIMBA

Loading...
VIONGOZI YANGA WAWAITA YONDAN,KESSY OFISINI KWA ABASS TARIMBA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VIONGOZI YANGA WAWAITA YONDAN,KESSY OFISINI KWA ABASS TARIMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : VIONGOZI YANGA WAWAITA YONDAN,KESSY OFISINI KWA ABASS TARIMBA
link : VIONGOZI YANGA WAWAITA YONDAN,KESSY OFISINI KWA ABASS TARIMBA

soma pia


VIONGOZI YANGA WAWAITA YONDAN,KESSY OFISINI KWA ABASS TARIMBA

Na Agness Francis, Blogu ya jamii

VIONGOZI wa Klabu Yanga wameamua kukutana na wachezaji Hassan Kessy na Kelvin Yondan kwa ajili ya kuhakikisha wanabaki katika klabu hiyo

Hata hivyo bado haijafahamika iwapo wamemalizana na wachezaji hao au laa zaidi ya kuwa wamewaita na kukutana nao katika Ofisi za Abass Tarimba leo jijini Dar es Salaam .

Hatua hiyo imekuwa wakati kukiwa na madai kuwa kuna uwezekano tayari Yondan ameshafanya mazungumzo na Simba FC na kilichobakia ni kuingizwa fedha tu ili asaini.

Hivy wakati kukiwa na madai hayo viongozi wa Yanga nao inaelezwa wamefanya mazungumzo na wachezaji hao ili waweze kubaki kwenye klabu hiyo kwa ajili ya msimu wa ligi kuu unaotarajia kuanza Agosti 22 mwaka huu.

"Wachezaji hao wameitwa na viongozi wa Yanga kwa ajili ya mazungumzo.Hata hivyo bado hatujafahamu nini ambacho kimeendelea aidha wamekubali kubaki au laa,"amesema mmoja wa watoa taarifa.

Wakati hayo yakiendelea wachezaji ao wamegoma kusafiri na timu kutokana na kutolipwa fedha zoa za usajili wa msimu ujao.

Wachezaji hao walitakiwa kuambatana na wenzao kuelekea nchini Kenya kucheza mchezo wa raundi ya tatu kundi D dhidi Gor Mahia katika katika michuano inayoendelea ya Shirikisho barani Afrika.


Hivyo makala VIONGOZI YANGA WAWAITA YONDAN,KESSY OFISINI KWA ABASS TARIMBA

yaani makala yote VIONGOZI YANGA WAWAITA YONDAN,KESSY OFISINI KWA ABASS TARIMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala VIONGOZI YANGA WAWAITA YONDAN,KESSY OFISINI KWA ABASS TARIMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/viongozi-yanga-wawaita-yondankessy.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "VIONGOZI YANGA WAWAITA YONDAN,KESSY OFISINI KWA ABASS TARIMBA"

Post a Comment

Loading...