Loading...

Mabondia Francis Cheka na Shabani Kaoneka wapima uzito leo,kuzichapa kesho uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara

Loading...
Mabondia Francis Cheka na Shabani Kaoneka wapima uzito leo,kuzichapa kesho uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mabondia Francis Cheka na Shabani Kaoneka wapima uzito leo,kuzichapa kesho uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mabondia Francis Cheka na Shabani Kaoneka wapima uzito leo,kuzichapa kesho uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara
link : Mabondia Francis Cheka na Shabani Kaoneka wapima uzito leo,kuzichapa kesho uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara

soma pia


Mabondia Francis Cheka na Shabani Kaoneka wapima uzito leo,kuzichapa kesho uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara

Mabondia Francis Cheka na Shabani Kaoneka, wamepima uzito leo tayari kwa pambano lao linalotarajiwa kufanyika kesho Jumamosi katika uwanja wa Umoja  Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara, ambapo Francis Cheka anatetea mkanda wake wa IBO Africa

Zoezi la upimaji Uzito likiwa linaendelea na kusimamiwa na Mwenyekiti wa kamati ya waamuzi wa Ngumi za Kulipwa Tanzania Ally Bakari na kuthibitisha Ulinganifu wa Uzito.

Mara baada ya zoezi Hilo Franciss Cheka ambaye anatetea Mkanda IBO Afrika amewaomba mashabiki wa ngumi Mkoa wa Mtwara Kuweza kujitokeza kwa wingi na tayari amefanya mazoezs ya kutosha Kuweza kushinda

Pambano hilo la round Kumi, litasindikizwa na mapambano ya utangulizi yatakayowahusisha mabondia wa Mtwara dhidi ya mabondia kutoka mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro na Tanga sambamba na burudani ya muziki kutoka kwa wasanii Sholo Mwamba na 20 Percent.
 


Hivyo makala Mabondia Francis Cheka na Shabani Kaoneka wapima uzito leo,kuzichapa kesho uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara

yaani makala yote Mabondia Francis Cheka na Shabani Kaoneka wapima uzito leo,kuzichapa kesho uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mabondia Francis Cheka na Shabani Kaoneka wapima uzito leo,kuzichapa kesho uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/mabondia-francis-cheka-na-shabani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mabondia Francis Cheka na Shabani Kaoneka wapima uzito leo,kuzichapa kesho uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara"

Post a Comment

Loading...