Loading...
title : MATUKIO KATIKA PICHA MASHINDANO YA MABUNGE YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI MECHI KATI YA BUNGE LA TANZANIA NA UGANDA UWANJA WA UHURU, JIJINI DAR
link : MATUKIO KATIKA PICHA MASHINDANO YA MABUNGE YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI MECHI KATI YA BUNGE LA TANZANIA NA UGANDA UWANJA WA UHURU, JIJINI DAR
MATUKIO KATIKA PICHA MASHINDANO YA MABUNGE YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI MECHI KATI YA BUNGE LA TANZANIA NA UGANDA UWANJA WA UHURU, JIJINI DAR
Wachezaji wa Timu ya Bunge la Tanzania katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa mechi yao na Timu ya Uganda Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam Jioni ya leo.
Mchezaji wa Timu ya Bunge la Tanzania, Prof. Norman Sigalla akimtoka ,Mchezaji wa Timu ya Bunge la Uganda wakati wa mechi yao iliyochezwa Jioni Leo Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya Mashindano ya Mabunge ya Afrika Mashariki yanaoendelea Jijini Dar es Salaam ambapo Uganda waliibuka kwa ushindi wa Magoli 2-1.
Mchezaji wa Timu ya Bunge la Tanzania Ridhiwan Kikwete (kushoto) akijiandaa kuwatoka Mabeki wa Timu ya Bunge la Uganda wakati wa mechi yao iliyochezwa Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam Jioni Leo ikiwa ni sehemu ya Mashindano ya Mabunge ya Afrika Mashariki yanaoendelea Jijini Dar es Salaam ambapo Uganda waliibuka kwa ushindi wa Magoli 2-1.
Mchezaji wa Timu ya Bunge la Tanzania Omary Mgumba (katikati) akijiandaa kupiga Mpira mbele ya wachezaji wa Timu ya Bunge la Uganda wakati wa mechi yao iliyochezwa Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam Jioni Leo ikiwa ni sehemu ya Mashindano ya Mabunge ya Afrika Mashariki yanaoendelea Jijini Dar es Salaam ambapo Uganda waliibuka kwa ushindi wa Magoli 2-1.
Mchezaji wa Timu ya Bunge la Tanzania Ally King (katikati) akimiliki Mpira mbele ya Wachezaji wa Timu ya Bunge la Uganda wakati wa mechi yao iliyochezwa Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam Jioni Leo ikiwa ni sehemu ya Mashindano ya Mabunge ya Afrika Mashariki yanaoendelea Jijini Dar es Salaam ambapo Uganda waliibuka kwa ushindi wa Magoli 2-1.
Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA MASHINDANO YA MABUNGE YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI MECHI KATI YA BUNGE LA TANZANIA NA UGANDA UWANJA WA UHURU, JIJINI DAR
yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA MASHINDANO YA MABUNGE YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI MECHI KATI YA BUNGE LA TANZANIA NA UGANDA UWANJA WA UHURU, JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA MASHINDANO YA MABUNGE YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI MECHI KATI YA BUNGE LA TANZANIA NA UGANDA UWANJA WA UHURU, JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/matukio-katika-picha-mashindano-ya.html
0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA MASHINDANO YA MABUNGE YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI MECHI KATI YA BUNGE LA TANZANIA NA UGANDA UWANJA WA UHURU, JIJINI DAR"
Post a Comment