Loading...

ALICHO ANDIKA POLEPOLE KUHUSHU CHADEMA HIKIHAPAAAA

Loading...
ALICHO ANDIKA POLEPOLE KUHUSHU CHADEMA HIKIHAPAAAA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ALICHO ANDIKA POLEPOLE KUHUSHU CHADEMA HIKIHAPAAAA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ALICHO ANDIKA POLEPOLE KUHUSHU CHADEMA HIKIHAPAAAA
link : ALICHO ANDIKA POLEPOLE KUHUSHU CHADEMA HIKIHAPAAAA

soma pia


ALICHO ANDIKA POLEPOLE KUHUSHU CHADEMA HIKIHAPAAAA


Katibu wa itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole amesema  CHADEMA wamefanya kikao cha dharura  kususia uchaguzi wa marudio wa majimbo na kata unaotarajiwa kufanyika January 13 mwakani.

Polepole amewatuhumu  CHADEMA  kuwa wanatumia mgongo wa kuminywa kwa Demokrasia nchini kususia uchaguzi huo wakati ukweli ni kwamba wamefulia baada ya kutumia vibaya hela ya mfuko wa chama chao. 

"Watani wanakutana leo, agenda ni kutoshiriki uchaguzi unaokuja wa marudio kwa kisingizio cha demokrasia lakini ukweli ni matumizi mabaya ya fedha yamefuja mfuko wa chama. Tafuteni visingizio vingine lakini sio demokrasia. Watu wamechoka siasa za matukio. Kikao chema!" Ameandika polepole katika ukurasa wake wa Twitter.

==>Angalia hapo chini alichoandika



Hivyo makala ALICHO ANDIKA POLEPOLE KUHUSHU CHADEMA HIKIHAPAAAA

yaani makala yote ALICHO ANDIKA POLEPOLE KUHUSHU CHADEMA HIKIHAPAAAA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ALICHO ANDIKA POLEPOLE KUHUSHU CHADEMA HIKIHAPAAAA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/alicho-andika-polepole-kuhushu-chadema.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ALICHO ANDIKA POLEPOLE KUHUSHU CHADEMA HIKIHAPAAAA"

Post a Comment

Loading...