Loading...

RAIS MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA

Loading...
RAIS MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA
link : RAIS MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA

soma pia


RAIS MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA

Mwambawahabari

Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dk.John Magufuli amewataka wanachama wa CCM kuchagua viongozi bila kuangalia maslahi urafiki, dini, kabila kadhalika amewasihi kutochagua viongozi watoa rushwa kwa kusema kuwa rushwa ni adui wa haki

Amesema kiongozi anapaswa kuwa mfano kwa wanachama na wananchi. Hapaswi kutuhumiwa kwa sifa mbaya kama ujambazi, madawa ya kulevya, rushwa n.k. Kuna msemo maarufu unasema 'mke wa Mfalme hapaswi kutuhumiwa kwa kuchepuka'

"Sio siri kuwa mageuzi tuliyoyafanya ni makubwa sana na hatuna budi kuyasimaia na viongozi waliochaguliwa ndio watakakuwa na majukumu hayo"  Alisema  Rais Magufuli
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk.John Magufuli akizungumza na wanachama wa chama cha Mapinduzi wakati akifungua kifungua mkutano mkuu wa CCM mjini Dodoma leo Jumatatu Desemba 18, 2017.



Hivyo makala RAIS MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA

yaani makala yote RAIS MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/rais-magufuli-afungua-mkutano-mkuu-wa_18.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA"

Post a Comment

Loading...