Loading...
title : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Ahudhuria Uzinduzi wa Kitabu cha Kampeni ya Uzalendo na Utaifa "Nchi Yangu Kwanza" Uzinduzi Huo Umefanyika Mkoani Dodoma.
link : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Ahudhuria Uzinduzi wa Kitabu cha Kampeni ya Uzalendo na Utaifa "Nchi Yangu Kwanza" Uzinduzi Huo Umefanyika Mkoani Dodoma.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Ahudhuria Uzinduzi wa Kitabu cha Kampeni ya Uzalendo na Utaifa "Nchi Yangu Kwanza" Uzinduzi Huo Umefanyika Mkoani Dodoma.
MAKAMU wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akizundua Kitabu cha Kampeni Uzalendo na Utaifa Kwanza katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Dodoma wakishuhudia uzinduzi huo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa na Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Dkt. Herrison Mwakyembe, uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Dodoma
MAKAMU wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akionesha picha ya Kitabu cha Kampeni Uzalendo na Utaifa Kwanza baada ya kukizundua katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Dodoma, akiwa na Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Dk Herrison Mwakyembe, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, na Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassima Majaliwa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha Kampeni na Utaifa Uzalendo Kwanza kilichozinduliwa katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Dodoma na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha Kampeni na Utaifa Uzalendo Kwanza kilichozinduliwa katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Dodoma na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha Kampeni na Utaifa Uzalendo Kwanza kilichozinduliwa katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Dodoma na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa nakala ya Kitabu cha Kampeni Uzalendo na Utaifa Kwanza na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan, baada ya kukizindua kitabu hicho katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Dodoma
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisoma kitabu cha Uzalendo Kwanza baada ya kuzinduliwa na kukabidhiwa nakala ya kitabu hicho katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Dodoma akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
WAZIRI Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha Kampeni ya Uzalendo na Utaifa Kwanza katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Dodoma
Hivyo makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Ahudhuria Uzinduzi wa Kitabu cha Kampeni ya Uzalendo na Utaifa "Nchi Yangu Kwanza" Uzinduzi Huo Umefanyika Mkoani Dodoma.
yaani makala yote Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Ahudhuria Uzinduzi wa Kitabu cha Kampeni ya Uzalendo na Utaifa "Nchi Yangu Kwanza" Uzinduzi Huo Umefanyika Mkoani Dodoma. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Ahudhuria Uzinduzi wa Kitabu cha Kampeni ya Uzalendo na Utaifa "Nchi Yangu Kwanza" Uzinduzi Huo Umefanyika Mkoani Dodoma. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa_60.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Ahudhuria Uzinduzi wa Kitabu cha Kampeni ya Uzalendo na Utaifa "Nchi Yangu Kwanza" Uzinduzi Huo Umefanyika Mkoani Dodoma."
Post a Comment