Loading...

Taarifa kutoka Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Loading...
Taarifa kutoka Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Taarifa kutoka Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Taarifa kutoka Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)
link : Taarifa kutoka Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

soma pia


Taarifa kutoka Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Edmund Benard Mndolwa akitangaza kutengua ushindi wa Nuru Kassim Bainaga aliyetangazwa kuwa mjumbe wa Baraza Kuu la Jumuiya ya  Wazazi kwenda kwenye Umoja wa Wanawake (UWT) na kumtangaza Zainabu Zubeir Sige kuwa mshindi halali wa nafasi hiyo Picha na Mpiga picha Wetu.

TAARIFA KUTOKA JUMUIA YA WAZAZI YA CCM.

Uongozi wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wake Ndg. Dkt. Edmund Mndolwa, leo tarehe 16 Desemba 2017 umekamilisha kuhakiki matokeo ya kura zilizopigwa katika Jumuia hiyo baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa wajumbe wa Jumuia hiyo walioshiriki katika uchaguzi uliofanyika tarehe 13 Desemba 2017

Katika taarifa yake Ndg. Dkt. Mndolwa amesema matokeo yaliyotangazwa na kumpa ushindi Ndg. Nuru Kassian Bainaga kwa nafasi ya WAZAZI kwenda UWT, yanatenguliwa na badala yake, amemtangaza Ndg. Zainab Zuberi Sige kuwa mjumbe halali wa WAZAZI kwenda UWT.

Huu ni muendelezo wa kuhakikisha kuwa haki inatendekea katika chaguzi mbalimbali za Chama na Jumuia zake.

Imetolewa na,

IDARA YA ITIKADI NA UENEZI
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)


Hivyo makala Taarifa kutoka Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

yaani makala yote Taarifa kutoka Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Taarifa kutoka Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/taarifa-kutoka-jumuiya-ya-wazazi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Taarifa kutoka Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)"

Post a Comment

Loading...