Loading...
title : Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Open Heart International (OHI) ya nchini Australia wafanya upasuaji kwa mtoto ambaye moyo wake umekaa upande wa kulia
link : Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Open Heart International (OHI) ya nchini Australia wafanya upasuaji kwa mtoto ambaye moyo wake umekaa upande wa kulia
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Open Heart International (OHI) ya nchini Australia wafanya upasuaji kwa mtoto ambaye moyo wake umekaa upande wa kulia
adaktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo kwa watoto kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)na wenzao wa Taasisi ya Open Heart International (OHI) ya nchini Australia wakifanya upasuaji kwa mtoto ambaye vyumba vyake vya moyo havijakamilika na hivyo damu kwenda kwa wingi kwenye mapafu katika kambi ya siku tano ya matibabu ya moyo iliyomalizika leo katika Taasisi hiyo.Picha na JKCI
Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo na mishipa ya damu kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kupandikiza mishipa ya damu kwenye moyo (CABG – Coronary Artery Bypass Grafting) katika kambi maalum ya siku tano ya matibabu ya moyo iliyomalizika leo katika Taasisi hiyo. Jumla ya wagonjwa 16 wamefanyiwa upasuaji na hali zao zinaendelea vizuri kati ya hao watoto ni tisa na watu wazima saba.
Mwanzilishi wa Taasisi ya Open Heart International ya nchini Australia Russel Lee akiongea na waandishi wa Habari kuhusu upasuaji wa moyo wa mtoto ambao umekaa upande wa kulia na mishipa yake ya damu chafu na safi imeingiliana katika upasuaji huo wameweza kulinda mapafu yalikuwa yanapokea damu kwa wingi kutoka kwenye mishipa ya moyo na mtoto kawekewa kifaa ambacho kitamsaidia moyo wake kufanya kazi vizuri (Pace Maker). Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi na kushoto ni Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo kwa watoto Godwin Sharau.
Hivyo makala Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Open Heart International (OHI) ya nchini Australia wafanya upasuaji kwa mtoto ambaye moyo wake umekaa upande wa kulia
yaani makala yote Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Open Heart International (OHI) ya nchini Australia wafanya upasuaji kwa mtoto ambaye moyo wake umekaa upande wa kulia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Open Heart International (OHI) ya nchini Australia wafanya upasuaji kwa mtoto ambaye moyo wake umekaa upande wa kulia mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/taasisi-ya-moyo-jakaya-kikwete-jkci-kwa.html
0 Response to "Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Open Heart International (OHI) ya nchini Australia wafanya upasuaji kwa mtoto ambaye moyo wake umekaa upande wa kulia"
Post a Comment