Loading...

TAKUKURU TANGA YAWAFIKISHA MAHAKAMANI WAHASIBU WAWILI WA OFISI YA MKUU WA MKOA WA TANGA KWA MASHTAKA MATATU YA RUSHWA

Loading...
TAKUKURU TANGA YAWAFIKISHA MAHAKAMANI WAHASIBU WAWILI WA OFISI YA MKUU WA MKOA WA TANGA KWA MASHTAKA MATATU YA RUSHWA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAKUKURU TANGA YAWAFIKISHA MAHAKAMANI WAHASIBU WAWILI WA OFISI YA MKUU WA MKOA WA TANGA KWA MASHTAKA MATATU YA RUSHWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAKUKURU TANGA YAWAFIKISHA MAHAKAMANI WAHASIBU WAWILI WA OFISI YA MKUU WA MKOA WA TANGA KWA MASHTAKA MATATU YA RUSHWA
link : TAKUKURU TANGA YAWAFIKISHA MAHAKAMANI WAHASIBU WAWILI WA OFISI YA MKUU WA MKOA WA TANGA KWA MASHTAKA MATATU YA RUSHWA

soma pia


TAKUKURU TANGA YAWAFIKISHA MAHAKAMANI WAHASIBU WAWILI WA OFISI YA MKUU WA MKOA WA TANGA KWA MASHTAKA MATATU YA RUSHWA

TAASISI ya kuzuia na kupambana na rushwa mkoani Tanga(Takukuru) imewafikisha mahakamani wahasibu wawili wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Tanga Josiah Mwaipela na Julius Idana kwa mashtaka matatu ya rushwa. 

Washtakiwa hao wamefikishwa mahakamani kwa makosa ya
uchepushaji,ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka kuhusiana na shilingi milioni 276,095,106.9 za mishahara ya watumishi ambaowalikoma utumishi wao wa umma kati ya Machi 3 ,2012 na Novemba 2013. 

Hayo yalisemwa na Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Tanga, Christopher Mariba wakati akitoa taarifa yake kwa vyombo vya habari ambapo alisema washtakiwa hao walifikishwa mahakamani jana Desemba 18 mwaka huu. Alisema washtakiwa hao walifikishwa mbele ya hakimu mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi Tanga,Crisencia Kisongo na kusomewa mashtaka na waendesha mashitaka wa Takukuru Noel Gabba na Neema Kazoka. 

Alisema washtakiwa hao wanadaiwa kutenda makosa ya uchepushaji,ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka kuhusiana na shilingi milioni 276,095,106.9 za mishahara ya watumishi ambao walikoma utumishi wao wa umma kati ya Machi 3 ,2012 na Novemba 2013. 



Hivyo makala TAKUKURU TANGA YAWAFIKISHA MAHAKAMANI WAHASIBU WAWILI WA OFISI YA MKUU WA MKOA WA TANGA KWA MASHTAKA MATATU YA RUSHWA

yaani makala yote TAKUKURU TANGA YAWAFIKISHA MAHAKAMANI WAHASIBU WAWILI WA OFISI YA MKUU WA MKOA WA TANGA KWA MASHTAKA MATATU YA RUSHWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAKUKURU TANGA YAWAFIKISHA MAHAKAMANI WAHASIBU WAWILI WA OFISI YA MKUU WA MKOA WA TANGA KWA MASHTAKA MATATU YA RUSHWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/takukuru-tanga-yawafikisha-mahakamani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAKUKURU TANGA YAWAFIKISHA MAHAKAMANI WAHASIBU WAWILI WA OFISI YA MKUU WA MKOA WA TANGA KWA MASHTAKA MATATU YA RUSHWA"

Post a Comment

Loading...