Loading...
title : TANZIA: ROSE FANUEL MARO AFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM
link : TANZIA: ROSE FANUEL MARO AFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM
TANZIA: ROSE FANUEL MARO AFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM
Familia ya Dkt. Fanuel Maro na Bibi Violet Maro ya Upanga Mashariki jijini Dar es salaam inasikitika kutangaza kifo cha binti yao mpendwa Rose Fanuel Maro kilichotokea jana Alhamisi Desemba 7, 2017 katika hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam.
Habari ziwafikie ndugu, jamaa, majirani na marafiki popote pale walipo.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwao Mtaa wa Longido, Upanga Mashariki, jijini Dar es salaam.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa
Jina lake na lihimidiwe - AMINA
Hivyo makala TANZIA: ROSE FANUEL MARO AFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote TANZIA: ROSE FANUEL MARO AFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA: ROSE FANUEL MARO AFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/tanzia-rose-fanuel-maro-afariki-dunia.html
0 Response to "TANZIA: ROSE FANUEL MARO AFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment