Loading...
title : TATU MZUKA YAWATUNUKU WASHINDI WA WAWILI WA SH. MILIONI 10
link : TATU MZUKA YAWATUNUKU WASHINDI WA WAWILI WA SH. MILIONI 10
TATU MZUKA YAWATUNUKU WASHINDI WA WAWILI WA SH. MILIONI 10
Mchezo wa kubahatisha wa TatuMzuka umetoa washindi wa wawili wa sh. Milioni 10 katika droo maalumu ya mwisho wa mwaka ili kuwapa wachezaji wa droo hiyo kufurahia sikukuu za mwisho wa mwaka .
Akizungumza na waandishi habari wakati wa kukabidhi hundi hizo kwa washindi hao , Afisa Habari wa Tatu Mzuka, Kemi Mutahaba amesema droo hiyo inachezwa majira ya saa tatu na nusu usiku ambayo inakwenda hadi mwishoni wa mwaka.
Kemi amesema kuwa washindi wote waliopewa hundi ni kutokana na kushinda mchezo huo kwa kufuata taratibu zilizowekwa za mchezo,Amesema Watanzania waendelee kuchangamkia fursa ya mchezo huo na kuibuka washindi na kufurahi msimu wa sikukuuu na ziku zinazoendelea.
Kemi amesema kuwa droo ya walioshinda ni maalumu na wakiona umuhimu wataweza kuitumia na droo zingine zikiendelea.Mshindi wa Tatu Mzuka wa Sh.milioni 10, Samson Mwamwenda amesema hakuamini kama ameshinda kutokana na kusikia watu wanashinda.
Amesema kuwa amecheza kwa wiki mbili akipata sh.2000 na mara ya mwisho akapata sh.10,000 lakini ameweza kushinda milioni 10.

Afisa Habari wa Tatu Mzuka, Kemi Mutahaba akimkabidhi hundi ya sh.milioni 10 kwa mshindi wa droo ya Tatu Mzuka ,Samson Mwamwenda,mapema leo kwenye mkutano na Wanahabari (hawapo pichani),uliofanyika leo jijini Dar .
Afisa Habari wa Tatu Mzuka, Kemi Mutahaba akimkabidhi hundi ya sh.milioni 10 kwa mshindi wa droo ya Tatu Mzuka ,Godfrey Madeje,mapema leo kwenye mkutano na Wanahabari (hawapo pichani),uliofanyika leo jijini Dar .
Hivyo makala TATU MZUKA YAWATUNUKU WASHINDI WA WAWILI WA SH. MILIONI 10
yaani makala yote TATU MZUKA YAWATUNUKU WASHINDI WA WAWILI WA SH. MILIONI 10 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TATU MZUKA YAWATUNUKU WASHINDI WA WAWILI WA SH. MILIONI 10 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/tatu-mzuka-yawatunuku-washindi-wa.html
0 Response to "TATU MZUKA YAWATUNUKU WASHINDI WA WAWILI WA SH. MILIONI 10"
Post a Comment