Loading...
title : ujenzi wa mradi wa maji Halmashauri ya Kondoa Mji waendelea vyema
link : ujenzi wa mradi wa maji Halmashauri ya Kondoa Mji waendelea vyema
ujenzi wa mradi wa maji Halmashauri ya Kondoa Mji waendelea vyema
Ujenzi wa tanki la maji katika mradi wa maji Kichangani ukiendelea katika Halmashauri ya Kondoa Mji
Mkandarasi wa mradi wa Kichangani akimwonyesha Mkurugenzi mabomba yaliyofika eneo la mradi mtaa wa Tura tayari kwa kutandazwa
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kondoa Mji Khalifa Kondo mwenye kofia akipokea maelezo kutoka kwa msimamizi wa mradi wa maji katika mtaa wa Kwapakacha.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kondoa Mji Khalifa Kondo mwenye kofia akishuhudia wananchi wa mtaa wa Kwapakacha wakichota maji kwenye kisima wakisubili kuunganishiwa miundombinu ya maji katika maeneo yao.
Hivyo makala ujenzi wa mradi wa maji Halmashauri ya Kondoa Mji waendelea vyema
yaani makala yote ujenzi wa mradi wa maji Halmashauri ya Kondoa Mji waendelea vyema Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ujenzi wa mradi wa maji Halmashauri ya Kondoa Mji waendelea vyema mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/ujenzi-wa-mradi-wa-maji-halmashauri-ya.html
0 Response to "ujenzi wa mradi wa maji Halmashauri ya Kondoa Mji waendelea vyema"
Post a Comment