Loading...
title : VODACOM TANZANIA FOUNDATION, DORIS MOLLEL FOUNDATION WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KWA HOSPITALI YA WILAYA YA CHATO, MKOANI GEITA
link : VODACOM TANZANIA FOUNDATION, DORIS MOLLEL FOUNDATION WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KWA HOSPITALI YA WILAYA YA CHATO, MKOANI GEITA
VODACOM TANZANIA FOUNDATION, DORIS MOLLEL FOUNDATION WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KWA HOSPITALI YA WILAYA YA CHATO, MKOANI GEITA
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Afya), Dkt. Mpoki Ulisubisya akizungumza katika halfa ya kukabidhiwa msaada wa vifaa tiba kwa ajili ya kusadia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati kwa Hospitali ya Wilaya ya Chato Mkoani Geita, uliotolewa kwa ushirikiano kati ya Taasisi ya Vodacom Tanzania (Vodacom Tanzania Foundation) pamoja na Taasisi ya Doris Mollel (Doris Mollel Foundation). hafla hiyo imefanyika leo katika Hospitali ya Chato, Mkoani Geita.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Afya), Dkt. Mpoki Ulisubisya akipokea moja ya mashine za kusaidia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (Njiti) kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (kushoto) kwa ajili ya Hospitali ya Wilaya ya Chato, Mkoani Geita. Msaada huo umetotea kwa ushirikiano kati ya Taasisi ya Vodacom Tanzania pamoja na Taasisi ya Doris Mollel. Wanaoshuhudia ni Muasisi wa Taasisi ya Doris Mollel na Balozi wa Watoto Njini nchini, Doris Mollel (wa pili kushoto) na Kushoto ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Chato, Dkt. Ligobert Kalasa.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Afya), Dkt. Mpoki Ulisubisya akiteta jambo na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia pamoja na Muasisi wa Taasisi ya Doris Mollel na Balozi wa Watoto Njini nchini, Doris Mollel.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Afya), Dkt. Mpoki Ulisubisya akimkabidhi zawadi ya Khanga Bi. Maria Maganga ambaye ni mzazi aliyekuwa katika Wadi ya Wazazi ya Hospitali hiyo.
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia akimsalimia mmoja wa watoto waliozaliwa katika Hospitali ya Chato, Mkoani Geita leo.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Afya), Dkt. Mpoki Ulisubisya akiwa pamoja na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (katikati) pamoja na Muasisi wa Taasisi ya Doris Mollel na Balozi wa Watoto Njini nchini, Doris Mollel wakipanda mti katika eneo la Hospitali ya Chato ikiwa ni ishara ya mtoto anayezaliwa na kutunzwa katika mazingira bora.
Hivyo makala VODACOM TANZANIA FOUNDATION, DORIS MOLLEL FOUNDATION WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KWA HOSPITALI YA WILAYA YA CHATO, MKOANI GEITA
yaani makala yote VODACOM TANZANIA FOUNDATION, DORIS MOLLEL FOUNDATION WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KWA HOSPITALI YA WILAYA YA CHATO, MKOANI GEITA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VODACOM TANZANIA FOUNDATION, DORIS MOLLEL FOUNDATION WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KWA HOSPITALI YA WILAYA YA CHATO, MKOANI GEITA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/vodacom-tanzania-foundation-doris.html
0 Response to "VODACOM TANZANIA FOUNDATION, DORIS MOLLEL FOUNDATION WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KWA HOSPITALI YA WILAYA YA CHATO, MKOANI GEITA"
Post a Comment