Loading...
title : Waziri Haruon Azungumza na Naibu Waziri wa Sheria wa China Zanzibar.
link : Waziri Haruon Azungumza na Naibu Waziri wa Sheria wa China Zanzibar.
Waziri Haruon Azungumza na Naibu Waziri wa Sheria wa China Zanzibar.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe Haroun Ali Suleiman akizungumza na Naibu Waziri wa Sheria wa China Zhao Da Cheng alipofika Ofisini kwake kubadilishana mawazo na kushirikiana katika mambo ya Sheria katika Nchi hizi mbili mazungumzo hayo yamefanyika katika Ukumbi wa Wizara hiyo mazizini Unguja
NAIBU Waziri wa Sheria wa China Zhao Da Cheng akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman alipofika Ofisi kwa Waziri kwa mazungumzo ya ushirikiano wa Mambo ya Sheria
Hivyo makala Waziri Haruon Azungumza na Naibu Waziri wa Sheria wa China Zanzibar.
yaani makala yote Waziri Haruon Azungumza na Naibu Waziri wa Sheria wa China Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Haruon Azungumza na Naibu Waziri wa Sheria wa China Zanzibar. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/waziri-haruon-azungumza-na-naibu-waziri.html
0 Response to "Waziri Haruon Azungumza na Naibu Waziri wa Sheria wa China Zanzibar."
Post a Comment