Loading...
title : WAZIRI JENISTA AKAGUA MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA UHURU WA TANZANIA BARA
link : WAZIRI JENISTA AKAGUA MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA UHURU WA TANZANIA BARA
WAZIRI JENISTA AKAGUA MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA UHURU WA TANZANIA BARA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akikagua maandalizi ya maadhimisho ya sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Uwanja wa Jamhuri leo Mjini Dodoma.
Onesho kutoka katika Kikundi cha Komando wakionesha umahiri wao katika kutekeleza majukumu yao ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Maadhimisho ya sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Uwanja wa Jamhuri leo Mjini Dodoma.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama wakati wa ukaguzi wa maandalizi ya Maadhimisho ya sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Uwanja wa Jamhuri leo Mjini Dodoma.
Gwaride la Mkoloni kutoka Jeshi la Polisi likionesha umahiri wake ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Maadhimisho ya sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Uwanja wa Jamhuri leo Mjini Dodoma.
Maofisa wa Jeshi la Polisi wanaoongoza misafara ya Viongozi wakionesha umahiri wao katika kutekeleza majukumu yao ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Maadhimisho ya sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma leo Mjini Dodoma.
Halaiki ya wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wakiunda umbo lililoonesha ramani ya Tanzania wakati wa maandalizi ya Maadhimisho ya sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Uwanja wa Jamhuri leo Mjini Dodoma.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma Bibi Rehema Madenge akimueleza jambo Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama wakati wa maandalizi ya Maadhimisho ya sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Uwanja wa Jamhuri leo Mjini Dodoma.Picha zote na Beatrice Lyimo, MAELEZO, DODOMA
Hivyo makala WAZIRI JENISTA AKAGUA MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA UHURU WA TANZANIA BARA
yaani makala yote WAZIRI JENISTA AKAGUA MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA UHURU WA TANZANIA BARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI JENISTA AKAGUA MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA UHURU WA TANZANIA BARA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/waziri-jenista-akagua-maandalizi-ya.html
0 Response to "WAZIRI JENISTA AKAGUA MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA UHURU WA TANZANIA BARA"
Post a Comment