Loading...

WELEDI NA UBORA WA KAZI NDIO MSINGI MZURI WA KUPATA SOKO LA SANAA: DKT. MWAKYEMBE.

Loading...
WELEDI NA UBORA WA KAZI NDIO MSINGI MZURI WA KUPATA SOKO LA SANAA: DKT. MWAKYEMBE. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WELEDI NA UBORA WA KAZI NDIO MSINGI MZURI WA KUPATA SOKO LA SANAA: DKT. MWAKYEMBE., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WELEDI NA UBORA WA KAZI NDIO MSINGI MZURI WA KUPATA SOKO LA SANAA: DKT. MWAKYEMBE.
link : WELEDI NA UBORA WA KAZI NDIO MSINGI MZURI WA KUPATA SOKO LA SANAA: DKT. MWAKYEMBE.

soma pia


WELEDI NA UBORA WA KAZI NDIO MSINGI MZURI WA KUPATA SOKO LA SANAA: DKT. MWAKYEMBE.


Na; Shamimu Nyaki-WHUSM.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe amewataka Wasanii wote hapa Nchini kuwa wabunifu na kutumia weledi katika kutengeneza kazi zenye ubora wa hali ya juu kwakua ndio utakaowasaidia kupata soko la uhakika.

Dkt. Mwakyembe ameyasema hayo leo Jijini Dar es Salaam wakati akizindua Kanzi Data ya wasanii iliyoandaliwa na Taasisi ya Muziki hapa nchini (TAMUF) iliyodhaminiwa na Kampuni ya CogsNet Technologies lengo ikiwa ni kusajili wasanii pamoja na kazi zao ili watambulike na wafaidike kupitia kazi hizo, lakini pia kuendelea na harakati za kupambana na wizi wa kazi za wasanii.

“Nawashukuru sana CogsNet pamoja na TAMUF kwa kuja na wazo hili lenye lengo la kulinda kazi za wasanii,naamini Kanzi Data hii italeta mafanikio kwa wasanii endapo watajisajili na kutengeneza kanzi bora zitakazowapatia soko la uhakika ndani na nje ya nchi”Alisema Dkt.Mwakyembe.

Aidha ameipongeza Taasisi hiyo kwa kuwatafutia wasanii Huduma mbalimbali za kijamii ikiwemo Bima ya Afya inayotolea na mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF lengo ikiwa ni kuwasaidia wasanii kupata huduma ya afya kwa bei nafuu pamoja na mafao mengine yanayotolewa na Mfuko huo lakini pia akiwataka wasanii kuacha tabia ya kuuza Haki Miliki zao.
Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa mfumo wa kutunza taarifa za wasanii wa muziki (Kanzi Data) leo Jijini Dar es Salaam. Mfumo huo unatengenezwa kwa ubia baina ya Mfuko wa Muziki Tanzania (Tamufo) na Kampuni ya CogsNet Technologies ya hapa nchini.
Rais wa Mfuko wa Muziki Tanzania (Tamufo) Dkt. Donald Kisanga akielezea jambo wakati wa hafla ya uzinduzi wa mfumo wa kutunza taarifa za wasanii wa muziki (Kanzi Data) leo Jijini Dar es Salaam. Mfumo huo unatengenezwa kwa ubia baina ya Mfuko wa Muziki Tanzania (Tamufo) na Kampuni ya CogsNet Technologies ya hapa nchini.Kutoka kulia ni Mtendaji Mkuu wa COSOTA Bi. Doreen Sinare, Katibu Mtendaji wa Basata Godfrey Mungereza, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe.
Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akipokea risala ya Mfuko wa Muziki Tanzania (Tamufo) kutoka kwa Rais wa mfuko huu Dkt. Donald Kisanga wakati wa hafla ya uzinduzi wa mfumo wa kutunza taarifa za wasanii wa muziki (Kanzi Data) leo Jijini Dar es Salaam. Mfumo huo unatengenezwa kwa ubia baina ya Mfuko wa Muziki Tanzania (Tamufo) na Kampuni ya CogsNet Technologies ya hapa nchini. Kutoka kulia ni Mtendaji Mkuu wa COSOTA Bi. Doreen Sinare na Katibu Mtendaji wa Basata Godfrey Mungereza.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala WELEDI NA UBORA WA KAZI NDIO MSINGI MZURI WA KUPATA SOKO LA SANAA: DKT. MWAKYEMBE.

yaani makala yote WELEDI NA UBORA WA KAZI NDIO MSINGI MZURI WA KUPATA SOKO LA SANAA: DKT. MWAKYEMBE. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WELEDI NA UBORA WA KAZI NDIO MSINGI MZURI WA KUPATA SOKO LA SANAA: DKT. MWAKYEMBE. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/weledi-na-ubora-wa-kazi-ndio-msingi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WELEDI NA UBORA WA KAZI NDIO MSINGI MZURI WA KUPATA SOKO LA SANAA: DKT. MWAKYEMBE."

Post a Comment

Loading...