Loading...

MALI ZA CHAMA CHA USHIRIKA MARA KUKAGULIWA-MAJALIWA

Loading...
MALI ZA CHAMA CHA USHIRIKA MARA KUKAGULIWA-MAJALIWA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MALI ZA CHAMA CHA USHIRIKA MARA KUKAGULIWA-MAJALIWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MALI ZA CHAMA CHA USHIRIKA MARA KUKAGULIWA-MAJALIWA
link : MALI ZA CHAMA CHA USHIRIKA MARA KUKAGULIWA-MAJALIWA

soma pia


MALI ZA CHAMA CHA USHIRIKA MARA KUKAGULIWA-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itatuma wakaguzi ili wakague mali za Chama cha Ushirika cha mkoa wa Mara.

Amesema Serikali imeanza kufuatilia mali za vyama vya Ushirika nchini zikiwemo za chama cha Ushirika mkoa wa Mara.

Waziri Mkuu alitoa kauli hiyo jana (Jumapili, Januari 21, 2018) katika kikao cha majumuisho ya ziara yake ya kikazi mkoani Mara.

Alisema ukaguzi huo utakwenda sambamba na kufuatilia fedha wanazodai waliokuwa watumishi wa chama hicho.

“Kumekuwepo na matatizo makubwa ndani ya vyama vya ushirika kiasi cha kudumaza maendeleo ya wananchi.”

Pia Waziri Mkuu aliitaka mikoa yote ikomeshe matumizi ya vipimo visivyo rasmi kama butura na kangomba ili mkulima wapate tija.

“Vipimo hivyo ni vya kinyonyaji na vinamwibia mkulima na kuwanufaisha wafanyabiashara jambo ambalo si sahihi.”

Pia Waziri Mkuu aliziagiza Halmashauri zipunguze watumishi walio kwenye Makao Makuu ya Halmashauri na kuwapeleka maeneo ya vijijini ili wakawahudumie wananchi.

Alisema watumishi watakaobaki Makao makuu ya Halmashauri wanatakiwa nao waweke utaratibu wa usafiri ili kwenda vijijini kutatua kero za wananchi.

Kwa upande wa kilimo, aliagiza Maafisa Kilimo wote wapelekwe vijijini kuwahudumia wananchi na watakaobakia Ofisini ni Mkuu wa Idara, Afisa Bustani na Afisa Utafiti tu.


IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU
JUMATATU, JANUARI 22, 2018.


Hivyo makala MALI ZA CHAMA CHA USHIRIKA MARA KUKAGULIWA-MAJALIWA

yaani makala yote MALI ZA CHAMA CHA USHIRIKA MARA KUKAGULIWA-MAJALIWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MALI ZA CHAMA CHA USHIRIKA MARA KUKAGULIWA-MAJALIWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/mali-za-chama-cha-ushirika-mara.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MALI ZA CHAMA CHA USHIRIKA MARA KUKAGULIWA-MAJALIWA"

Post a Comment

Loading...