Loading...
title : MATOKEO YA DARASA LA NNE NA KIDATO CHA PILI YATANGAZWA
link : MATOKEO YA DARASA LA NNE NA KIDATO CHA PILI YATANGAZWA
MATOKEO YA DARASA LA NNE NA KIDATO CHA PILI YATANGAZWA
Akitangaza matokeo hayo leo Jumatatu, Januari 8, Katibu Mtendaji wa baraza hilo, Dk Charles Msonde (pichani) amesema jumla ya wanafunzi 1,086,156 waliofanya mtihani wa darasa la nne wamefaulu kati ya 1,158,444 waliofanya upimaji huo.
Amesema wanafunzi hao wamefaulu kwa kupata alama zenye madaraja ya A,B,C na D wakati wanafunzi 72,288 sawa na asilimilia 6.24 wamepata alama za daraja E, ambao ni ufaulu usioridhisha.
Kuhusu matokea ya upimaji wa kidato cha pili, Dk Msonde amesema jumla ya wanafunzi 433,453 sawa na asilimia 82.32 kati ya 486,742 waliosajiliwa kufanya mtihani huo wamepata ujuzi wa maarifa ya kuwawezesha kuendelea na kidato cha tatu.
Dk Msonde alisema wanafunzi wa kidato cha pili 51,807 sawa na asilimia 10.68 wameshindwa kupata alama za kuwawezesha kuendelea na kidato cha tatu.
Hivyo makala MATOKEO YA DARASA LA NNE NA KIDATO CHA PILI YATANGAZWA
yaani makala yote MATOKEO YA DARASA LA NNE NA KIDATO CHA PILI YATANGAZWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATOKEO YA DARASA LA NNE NA KIDATO CHA PILI YATANGAZWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/matokeo-ya-darasa-la-nne-na-kidato-cha.html
0 Response to "MATOKEO YA DARASA LA NNE NA KIDATO CHA PILI YATANGAZWA"
Post a Comment