Loading...

ZIDANE AKALIA 'KUTI KAVU' REAL MADRID

Loading...
ZIDANE AKALIA 'KUTI KAVU' REAL MADRID - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZIDANE AKALIA 'KUTI KAVU' REAL MADRID, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZIDANE AKALIA 'KUTI KAVU' REAL MADRID
link : ZIDANE AKALIA 'KUTI KAVU' REAL MADRID

soma pia


ZIDANE AKALIA 'KUTI KAVU' REAL MADRID

Na Agnes Francis, Globu ya Jamii

KOCHA Mkuu wa kikosi cha Real Madrid, Zinedine Zidane ameendelea kusakamwa na matokeo mabaya anayoyapata baada ya jana kuondolewa kwa jumla ya mabao 2-2 dhidi ya Leganes.

Matokeo hayo yameifanya Madrid kuondolewa katika michuano ya Kombe la Mfalme(Copa del Rey).Mtanange huo uliopigwa Uwanja wa Santiago Bernabeu, Madrid imeondolewa kwenye michuano hiyo licha ya ushindi walioupata wakiwa ugenini wa bao 1 - 0 wakati jana Madrid walipokea kichapo cha bao 2 - 1 bila ya nyota wake Christian Ronaldo na Gareth Bale. 

Mabao ya Leganes yalipachikwa nyavuni na Javier  Eraso na la pili  lilifungwa na  Gabriel Appelt Pires dakika ya 55,wakati mshambuliaji  wa Real Madrid  Karin Benzema alipatia timu yake bao dakika ya 47.

Hivi karibuni kabla ya mechi hiyo Kocha Zidane amekuwa akisakamwa na baadhi ya viongozi wake kutokana na mwenendo mbovu wa klabu hiyo siku za usoni.


Hivyo makala ZIDANE AKALIA 'KUTI KAVU' REAL MADRID

yaani makala yote ZIDANE AKALIA 'KUTI KAVU' REAL MADRID Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZIDANE AKALIA 'KUTI KAVU' REAL MADRID mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/zidane-akalia-kuti-kavu-real-madrid.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ZIDANE AKALIA 'KUTI KAVU' REAL MADRID"

Post a Comment

Loading...