Loading...

WADAU WA MITINDO, UREMBO MSIWABAGUE WENYE ULEMAVU WA NGOZI-BRIGITA

Loading...
WADAU WA MITINDO, UREMBO MSIWABAGUE WENYE ULEMAVU WA NGOZI-BRIGITA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WADAU WA MITINDO, UREMBO MSIWABAGUE WENYE ULEMAVU WA NGOZI-BRIGITA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WADAU WA MITINDO, UREMBO MSIWABAGUE WENYE ULEMAVU WA NGOZI-BRIGITA
link : WADAU WA MITINDO, UREMBO MSIWABAGUE WENYE ULEMAVU WA NGOZI-BRIGITA

soma pia


WADAU WA MITINDO, UREMBO MSIWABAGUE WENYE ULEMAVU WA NGOZI-BRIGITA

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii .

MSHINDI wa Miss Tanzania mwaka 2012 Brigita Alfred ameweataka wadau wa masuala ya urembo na mitindo kuacha kubagua watu kutokana na mapungufu yao ya kimaumbile katika tasnia hiyo.

Brigita amesema hayo jijini Dar es Salaam wakati alipokuwa akitoa neno la shukrani kwa wadau wa mitindo na urembo waliofika katika onesho lake Maalum kwa watu wenye ulemavu wa ngozi lililofanyika nyumbani kwa Balozi wa Uturuki lililokwenda kwa jina la 'My Skin My Pride' na kuhudhuriwa na watu mbalimbali.

" Unaweza ukaona ukadhani labda nimefanya haya maonesho kwa ajili ya tasisi yangu lakini ukweli unabaki palepale kuwa katika tasnia ya mitindo sasa tunapaswa kuwapa nafasi watu wenye matatizo ya ulemavu wa ngozi kuonesha vipaji vyao na uzuri wa ngozi yao kuliko kuwaacha wenyewe jambo linalo wafanya wajisikie tofauti"amesema Brigita.

Amesema ni jambo zuri sasa kwa waandaaji wa mashindano ya urembo na mitindo kuwajumuisha wadau hao hili nao waonekane katika majukwaa ya kimataifa.

Mkurugenzi wa Tasisi ya Brigita Foundation, Brigita Alfred akizungumza kwa kuwashukuru wadau mbalimbali waliofika wakati wa Fashion Show ya watu ya wenye ulemavu wa ngozi iliyofanyika nyumbani kwa balozi wa Uturuki Masaki jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa wana Mitindo mwenye ulemavu wa ngozi akiwa anapita jukwaani akionyesha mavazi yaliyobuniwa na wanamitindo mbalimbali
Warembo waliowahi kushika taji la Miss Tanzania nchini Nancy Sumari na Jackline Mengi wakishuhudia onesho hilo la mitindo kwa watu wenye ulemavu wa ngozi.
Baadhi ya wadau wa mitindo waliofika katika Onesho la Mavazi kwa watu wenye ulemavu wa ngozi nchini lililofanyika Nyumbani kwa Balozi wa Uturuki nchini.
Mwanamitindo Nemalisa akiwa na Mmoja wa warembo wenye ulamavu wa ngozi akionyesha Vazi la nguo za jioni lililoandaliwa na kampuni ya Jackies Collection.


Hivyo makala WADAU WA MITINDO, UREMBO MSIWABAGUE WENYE ULEMAVU WA NGOZI-BRIGITA

yaani makala yote WADAU WA MITINDO, UREMBO MSIWABAGUE WENYE ULEMAVU WA NGOZI-BRIGITA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WADAU WA MITINDO, UREMBO MSIWABAGUE WENYE ULEMAVU WA NGOZI-BRIGITA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/wadau-wa-mitindo-urembo-msiwabague.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WADAU WA MITINDO, UREMBO MSIWABAGUE WENYE ULEMAVU WA NGOZI-BRIGITA"

Post a Comment

Loading...