Loading...

WAKAZI MULEBA WAIOMBA SERIKALI KUONGEZEA WATUMISHI WA UMMA

Loading...
WAKAZI MULEBA WAIOMBA SERIKALI KUONGEZEA WATUMISHI WA UMMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAKAZI MULEBA WAIOMBA SERIKALI KUONGEZEA WATUMISHI WA UMMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAKAZI MULEBA WAIOMBA SERIKALI KUONGEZEA WATUMISHI WA UMMA
link : WAKAZI MULEBA WAIOMBA SERIKALI KUONGEZEA WATUMISHI WA UMMA

soma pia


WAKAZI MULEBA WAIOMBA SERIKALI KUONGEZEA WATUMISHI WA UMMA

Na Emanuel Massaka-Globu ya jamii 

WAKAZI wa Kisiwa cha Kerebe wilayani Muleba mkoani Kagera wameomba Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais,Dk. John Maguli kuwapelekea rasilimali watu hasa upande wa afya  na elimu.

Wamesema kwa sasa wamekuwa wakipata changamoto mbalimbali za kijamii kutokana na uhaba uliopo wa watumishi wa umma. Wakizungumza kwa nyakati tofauti na Michuzi blog juzi na jana, wakazi hao wamesema  huduma za kijamii ni changamoto kwao.

" Zimekuwa zinawaumiza hivyo wamezitaka Wizara husika kusikia kilio chao na tunaomba tujengewa hospitali na shule ili watoto na wakina mama wajazito wapate hudumu muhimu,"wamesema wakazi hao.

Pia wameomba Serikali kuwatengenezea huduma bora katika usafiri wa majini kwa kuwapatia boti kwani wamekuwa wakitumia boti za mtu binafsi ambazo si salama kwao.Hivyo wanaomba upatikane usafiri ulio bora na wa uhakika katika kulinda maisha yao.

Hata hivyo Wakazi hao Kisiwa hicho asilimia 93 wanatengemea uvuvi wa Samaki na asilimia 7 wanajishughulisha na kilimo na ufungaji, hivyo basi wameitaka Serikali kuboresha katika sekta ya uvuvi pamoja na ufungaji ili waweze kuendana na mabadiliko ya nchi kwa kupata kipato kikubwa zaidi.

Kisiwa cha Kerebe kwa sensa ya 2012 kina jumla ya wakazi  3100 lakini  idadi hiyo hupungua na kuongezeka kulingana na kilimo na upatikanaji wa samaki kwa wingi ziwani humo.Hivyo basi kutokana na Serikali ya awamu ya tano inayosema 'Hapa kazi to' itasikiliza kilio chao na kuwapelekea huduma muhimu kwani kila Wizara itakuwa ipo tayari kushirikiana na wanakijiji hao kwa kupitia Wilaya ya Muleba.Na kuongeza viongozi mbalimbali waliochaguliwa wataimarisha ushirikiano wao kwa Serikali



Hivyo makala WAKAZI MULEBA WAIOMBA SERIKALI KUONGEZEA WATUMISHI WA UMMA

yaani makala yote WAKAZI MULEBA WAIOMBA SERIKALI KUONGEZEA WATUMISHI WA UMMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAKAZI MULEBA WAIOMBA SERIKALI KUONGEZEA WATUMISHI WA UMMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/wakazi-muleba-waiomba-serikali.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAKAZI MULEBA WAIOMBA SERIKALI KUONGEZEA WATUMISHI WA UMMA"

Post a Comment

Loading...