Loading...
title : NAIBU MEYA ILALA AWAKUMBUSHA MADIWANI KUSIMAMIA USAFI
link : NAIBU MEYA ILALA AWAKUMBUSHA MADIWANI KUSIMAMIA USAFI
NAIBU MEYA ILALA AWAKUMBUSHA MADIWANI KUSIMAMIA USAFI
Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii.
NAIBU Meya wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam, Omary Kumbilamoto, amewataka viongozi na madiwani wa Manispaa hiyo kuwahimiza waanchi wao kufanya usafi katika maeneo yao ili kuepuka magonjwa ya mlipuko.
Kumbilamoto amesema hayo leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza na Michuzi blog kuhusu nini kifanyike kupunguza magonjwa ya mlipuko katika baadhi ya maeneo katika Manispaa ya Ilala na Mkoa wa Dar es Salaam kwa ujumla.
"Viongozi tunatakiwa kuwa mfano wa kuigwa na kuhimiza watu kufanya usafi kwani Rais wetu, Dk.John Magufuli alianza kwa kutuonesha kwa mfano nasi tunapawa kumuunga mkono kwa hali na mali ili tutokomeza magonjwa ya mlipuko ambayo mara nyingi hutokana na uchafu," amesema Kumbilamoto.
Ameongeza tangu mchakato huo wa usafi mazingira uanze kwa takribani zaidi ya mwaka sasa katika kata ya Vingunguti hakujaripotiwa kuwepo kwa ugonjwa wa kipindupindu hali ambayo tofauti na awali.Amefafanua kata hiyo ilikuwa sugu kwa ugonjwa huo kiasi cha kuwekwa kambi maalum ya wagonjwa muda wote .
Amesema jukumu la usafi ni la kila mmoja wetu lakini kama viongozi inatakiwa kuacha siasa za maneno na kufanya mambo hayo kwa vitendo ili tuwe mfano bora kwa wapigakura wetu.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala , Omary Kumbilamoto akisukuma Toroli lenye taka kwenda kumwaga Dampo wakati wa zoezi la usafi la kila mwisho wa Mwezi lililofanyika katika Kata ya Vingunguti Jijini Dar es Salaam kama agizo la Rais Dkt John Magufuli la kuhakikisha kila mmoja anafanya usafi katika eneo lake kila Jumamosi ya Mwisho wa Mwezi.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala , Omary Kumbilamoto, akishiriki kusafisha Mitaro ya kutiririsha maji ya Mvua katika Barabara ya Vingunguti Kembembuzi .
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mtambani Sharif Mbulu, akichimba mchanga na kutoa taka katika mtaro wa kutiririsha maji barabara ya Vingunguti Kembembuzi.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala , Omary Kumbilamoto ,akihamasisha zoezi la usafai kwa wakazi wa Vingunguti.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala , Omary Kumbilamoto akikabidhi Pikipiki kwa kundi la Wajasiliamali la Watoto Pori ambao aliungana nao pamoja mapema leo katika shughuli ya Usafi.

Hivyo makala NAIBU MEYA ILALA AWAKUMBUSHA MADIWANI KUSIMAMIA USAFI
yaani makala yote NAIBU MEYA ILALA AWAKUMBUSHA MADIWANI KUSIMAMIA USAFI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU MEYA ILALA AWAKUMBUSHA MADIWANI KUSIMAMIA USAFI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/naibu-meya-ilala-awakumbusha-madiwani.html
0 Response to "NAIBU MEYA ILALA AWAKUMBUSHA MADIWANI KUSIMAMIA USAFI"
Post a Comment