Loading...

WATEJA AIRTEL MONEY WAPATA GAWIO LA BILIONI 1.7/-

Loading...
WATEJA AIRTEL MONEY WAPATA GAWIO LA BILIONI 1.7/- - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATEJA AIRTEL MONEY WAPATA GAWIO LA BILIONI 1.7/-, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATEJA AIRTEL MONEY WAPATA GAWIO LA BILIONI 1.7/-
link : WATEJA AIRTEL MONEY WAPATA GAWIO LA BILIONI 1.7/-

soma pia


WATEJA AIRTEL MONEY WAPATA GAWIO LA BILIONI 1.7/-


Na Agness Francis, Globu ya Jamii

KAMPUNI ya simu za mkononi Airtel imetangaza rasmi kugawa gawio la Sh.bilioni 1.7 kwa kila robo ya mwaka kwa wateja wake wote wanaotumia Airtel Money  ikiwa ni mara ya tano kufanyika tangu ianzishwe huduma hiyo mwaka 2015.

Akizungumza leo jijini Dar es salaam, Mkurugenzi wa Masomo Airtel  Money Isack Nchunda, amesema kuwa leo wametoa rasmi Sh, bilioni 1.7 ambayo ni riba ya robo ya mwaka iliyopita  ikiwa zoezi hilo litakuwa endelevu badala ya ule utaratibu wa mwanzowa kila  miezi sita ambapo gawio hilo la faida litawafikia moja kwa moja  walengwa ambao ni wateja pamoja na mawakala wote wanaotumia huduma hiyo ya Airtel Money hapa nchini. 

Amefafanua Nchunda amesema Mr. Money atarudisha gawio kulingana na salio linalosalia katika akaunti kila siku kwa anayetumia huduma hiyo ambayo mteja atakuwa huru kufanya matumizi yake binafsi kama kununua bando, luku, na mahitaji mengine kupitia riba hiyo bila kupangiwa na Mr. Money  huyo.

Kwa upande wake Meneja wa Huduma za Airtel Money Ibrahim Malando, amewataka mawakala hao kuendelea kufanya huduma bora kwa wateja wao kwani ni hatua nzuri ya kujiongezea zaidi faida kwa gawio lijalo.
Mkurugenzi wa masomo Airtel Tanzania Isack Nchunda akiongea Jijini Dar es Salaam leo wakati wa gawio kwa wateja na mawakala wa Airtel money ambapo jumla Sh bilioni 1.7 zitatolewa kwa robo ya mwaka iliyoisha Disemba 2017.kushoto ni Meneja huduma za Airtel money  Ibrahim Malando na Meneja uhusiano Airtel Tanzania Jackson Mmbando.

 Meneja huduma za Airtel money Ibrahim Malando akiongea Jijini Dar es Salaam leo wakati wa kutangaza gawio kwa wateja na mawakala wa Airtel money ambapo jumla y sh bilioni 1.7 zitatilewa kwa robo ya mwaka iliyoisha Disemba 2017 katika ni Mkurugenzi wa masoko Airtel money Tanzania Isack Nchunda  na Meneja  uhusiano wa Airtel  Tanzania Jackson  Mmbando


Hivyo makala WATEJA AIRTEL MONEY WAPATA GAWIO LA BILIONI 1.7/-

yaani makala yote WATEJA AIRTEL MONEY WAPATA GAWIO LA BILIONI 1.7/- Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATEJA AIRTEL MONEY WAPATA GAWIO LA BILIONI 1.7/- mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/wateja-airtel-money-wapata-gawio-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WATEJA AIRTEL MONEY WAPATA GAWIO LA BILIONI 1.7/-"

Post a Comment

Loading...