Loading...
title : WAZIRI MKUU MAJALIWA AHITIMISHA ZIARA YA MKOA WA MARA
link : WAZIRI MKUU MAJALIWA AHITIMISHA ZIARA YA MKOA WA MARA
WAZIRI MKUU MAJALIWA AHITIMISHA ZIARA YA MKOA WA MARA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua mabweni mawili ya Magufuli na Majaliwa katika Shule ya Sekondari ya Bumagi wilayani Butiama Januari 20, 2018. Watatu kulia ni mkewe Mary.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi baada ya kuzindua mabweni mawili yaliyopewa majina ya Magufuli na Majaliwa katika shule ya Secondari ya Bumagi wilayani Butiama Januari 20, 2018. Wapili kushoto ni mkewe Mary.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mbuge wa Butiama, Nimrod Mkono cheti cha shukurani kilichotolewa na wilaya ya Butiama ili kuthami mchango wake mkubwa wa kujenga na kuchangia maendeleo ya elimu wilayani humo. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye Chuo Kikuu cha Julius Kambarage Nyerere kilichojengwa na mbunge huyo kikiwa na sekonda na kutokana na ubora wake kilibadilishwa kuwa Chuo Kikuu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhungo katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye kijiji cha Muragi Januari 21, 2018.
Hivyo makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AHITIMISHA ZIARA YA MKOA WA MARA
yaani makala yote WAZIRI MKUU MAJALIWA AHITIMISHA ZIARA YA MKOA WA MARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AHITIMISHA ZIARA YA MKOA WA MARA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/waziri-mkuu-majaliwa-ahitimisha-ziara.html
0 Response to "WAZIRI MKUU MAJALIWA AHITIMISHA ZIARA YA MKOA WA MARA"
Post a Comment