Loading...

Timu mbili zaidi zaongezeka kuwania taji la Taifa la mashindano ya kuogelea ya yoso

Loading...
Timu mbili zaidi zaongezeka kuwania taji la Taifa la mashindano ya kuogelea ya yoso - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Timu mbili zaidi zaongezeka kuwania taji la Taifa la mashindano ya kuogelea ya yoso, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Timu mbili zaidi zaongezeka kuwania taji la Taifa la mashindano ya kuogelea ya yoso
link : Timu mbili zaidi zaongezeka kuwania taji la Taifa la mashindano ya kuogelea ya yoso

soma pia


Timu mbili zaidi zaongezeka kuwania taji la Taifa la mashindano ya kuogelea ya yoso

Timu mbili zaidi zimethibisha zimethibitisha kushiriki katika mashindano ya taifa ya kuogelea kwa vijana wa umri  kuanzia miaka  saba mpaka 14 yaliyopangwa kuanza Ijumaa (Januari 26) na kumalizikia Jumamosi (Januari 27).


Timu hizo ni Mwanza Swim Club na Isamilo kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa klabu ya Dar Swim Club (DSC), Inviolata Itatiro. Klabu hizo zinaungana na Bluefins, Arusha Swim Club, Shule ya Kimataifa ya Moshi, na Champion Rise.


Vilabu vingine kwa mujibu wa Inviolata ni Taliss, Hopac, Wahoo ya Zanzibar, Kennedy House, Shule ya Kimataifa ya Morogoro na wenyeji, DSC. Inviolata alisema kuwa,  Kisima Water, Knight Support,    Coca-Cola,  Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (IST), Label Promotions, Print Galore Ltd na kituo cha televisheni cha ITV wamejitokeza kudhamini mashindano hayo.
Alisema kuwa bado wanaendelea kutafuta wadhamini ili kufanikisha mashindano hayo yenye lengo la kuendeleza mchezo wa kuogelea nchini na hasa waogeleaji chipukizi ambao ni nguzo ya nchi katika mashindano yajayo ya kimataifa.


“Maandalizi yanaendelea na kwa sasa tunaomba wadhamini watusaidie kufanikisha mashindano haya, ni mashindano ya vijana wadogo ambao wanahitaji kuona kila kitu kinakuwa sawa, ni muhimu kupata msaada kutoka kwa wadau na makampuni,” alisema Inviolata.



Alisema kuwa klabu yake inaandaa mashindano hayo kwa mara ya pili na mafanikio yameanza kuonekana kwani kuna waogeleaji wengi chipukizi wameanza kuwa tishio katika mashindano ya Taifa. Alifafanua kuwa wamepewa kibali na Chama Cha Kuogelea Nchini (TSA) kufanya mashindano hayo  ambayo awali yalikuwa ya ngazi ya vilabu kabla ya kupasishwa kuwa ya kitaifa.
waogeleaji chipukizi wakijifua


Hivyo makala Timu mbili zaidi zaongezeka kuwania taji la Taifa la mashindano ya kuogelea ya yoso

yaani makala yote Timu mbili zaidi zaongezeka kuwania taji la Taifa la mashindano ya kuogelea ya yoso Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Timu mbili zaidi zaongezeka kuwania taji la Taifa la mashindano ya kuogelea ya yoso mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/timu-mbili-zaidi-zaongezeka-kuwania.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Timu mbili zaidi zaongezeka kuwania taji la Taifa la mashindano ya kuogelea ya yoso"

Post a Comment

Loading...