Loading...
title : WAZIRI UMMY AENDELEA NA ZIARA KANDA YA ZIWA
link : WAZIRI UMMY AENDELEA NA ZIARA KANDA YA ZIWA
WAZIRI UMMY AENDELEA NA ZIARA KANDA YA ZIWA
Waziri ummy Mwalimu akiangalia ramani ya kituo hicho cha afya ambacho kimejengwa kwa ushirikiano wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema na Shirika la SEDA Foundation, kulia ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Dkt.Subi na kushoto ni mmoja wa Viongozi wa Shirika hilo.
Waziri Ummy Mwalimu akiangalia Ramani ya Ujenzi wa jengo la ghorofa nne la Uzazi linalojengwa hospitali ya Mkoa ya Sekoture jijini Mwanza.
.Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na watoto akiangalia kazi inavyoendelea katika hospitali hiyo.
Waziri Ummy Mwalimu akiangalia duka la dawa lililopo kwenye hospitali ya Mkoa ya Sekoture ambapo upatikanani wa dawa kwa Mkoa wa Mwanza ni asilimia 80.
Jengo la Maabara lililojengwa kwenye kituo hicho cha afya katika mpango wa Serikali wa kuboresha huduma za dharura za uzazi kwenye vituo vya afya nchini.(Picha zote na Wizara ya Afya).
Hivyo makala WAZIRI UMMY AENDELEA NA ZIARA KANDA YA ZIWA
yaani makala yote WAZIRI UMMY AENDELEA NA ZIARA KANDA YA ZIWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI UMMY AENDELEA NA ZIARA KANDA YA ZIWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/waziri-ummy-aendelea-na-ziara-kanda-ya.html
0 Response to "WAZIRI UMMY AENDELEA NA ZIARA KANDA YA ZIWA"
Post a Comment