Loading...
title : WIZARA YAAHIDI KUSHIRIKIANA NA FAMILIA YA NGUZA VIKING (BABU SEYA) KURUDI KWENYE ANGA YA MUZIKI WAO
link : WIZARA YAAHIDI KUSHIRIKIANA NA FAMILIA YA NGUZA VIKING (BABU SEYA) KURUDI KWENYE ANGA YA MUZIKI WAO
WIZARA YAAHIDI KUSHIRIKIANA NA FAMILIA YA NGUZA VIKING (BABU SEYA) KURUDI KWENYE ANGA YA MUZIKI WAO
Naibu Waziri wa Habari Sanaa na Michezo, Juliana Shonza, akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Studio ya Wanene na Wasanii Nguza Viking , Papii Nguza (Papii Kocha ) kwa ajili ya kurekodi mziki wa Live katika Studio Wanene.
Msanii wa Muziki wa Dansi Nguza Viking akizungumza na Waandishi wa Habari mara Baada ya kufanya Mazungumzo na Uongozi wa Wanene Studio na Naibu Waziri.
Mwanamuziki wa Muziki wa Dansi Papii Kocha akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam mara baada ya kutembelea Studio za Wanene na kufanya Mazungumzo na mkurugenzi wa Studio na Naibu Waziri wa Habari Sanaa na Michezo Juliana Shonza
Naibu Waziri wa Habari Sanaa na Michezo, Juliana Shonza, akiteta na Mkurugenzi wa Wanene Studio wakati wa mazungumzo ya Kufanikisha wasanii hao kurekodi katiKa Studio hizo
Wasanii wa muziki wa Muziki wa Dansi Papii Kocha na Gunza Viking wakiwa wanatoka katika Studio za Wanene Mikocheni Dar es Salaam
--
Hivyo makala WIZARA YAAHIDI KUSHIRIKIANA NA FAMILIA YA NGUZA VIKING (BABU SEYA) KURUDI KWENYE ANGA YA MUZIKI WAO
yaani makala yote WIZARA YAAHIDI KUSHIRIKIANA NA FAMILIA YA NGUZA VIKING (BABU SEYA) KURUDI KWENYE ANGA YA MUZIKI WAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA YAAHIDI KUSHIRIKIANA NA FAMILIA YA NGUZA VIKING (BABU SEYA) KURUDI KWENYE ANGA YA MUZIKI WAO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/wizara-yaahidi-kushirikiana-na-familia.html
0 Response to "WIZARA YAAHIDI KUSHIRIKIANA NA FAMILIA YA NGUZA VIKING (BABU SEYA) KURUDI KWENYE ANGA YA MUZIKI WAO"
Post a Comment