Loading...
title : SPIKA AHUDHURIA SEMINA YA UZAZI NA MALEZI BORA JIJINI DODOMA
link : SPIKA AHUDHURIA SEMINA YA UZAZI NA MALEZI BORA JIJINI DODOMA
SPIKA AHUDHURIA SEMINA YA UZAZI NA MALEZI BORA JIJINI DODOMA
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akimsikiliza kwa makini mwezeshaji katika semina ya uzazi na malezi bora iliyoandaliwa na Chama cha UMATI kwaajili ya wabunge iliyofanyika jana jijini Dodoma. 
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akifungua semina ya uzazi na malezi bora iliyoandaliwa na Chama cha UMATI kwaajili ya wabunge iliyofanyika jana jijini Dodoma. 
Wabunge wakimsikiliza kwa makini Spika katika semina ya uzazi na malezi bora iliyoandaliwa na Chama cha UMATI kwaajili ya wabunge iliyofanyika jana jijini Dodoma.
Waheshimiwa wabunge wakipata picha ya pamoja na Spika Mhe Job Ndugai ambaye alikuwa ni mgeni rasmi katika semina iliyoandaliwa na UMATI

Hivyo makala SPIKA AHUDHURIA SEMINA YA UZAZI NA MALEZI BORA JIJINI DODOMA
yaani makala yote SPIKA AHUDHURIA SEMINA YA UZAZI NA MALEZI BORA JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA AHUDHURIA SEMINA YA UZAZI NA MALEZI BORA JIJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/spika-ahudhuria-semina-ya-uzazi-na.html
0 Response to "SPIKA AHUDHURIA SEMINA YA UZAZI NA MALEZI BORA JIJINI DODOMA"
Post a Comment