Loading...

DKT MWIGULU AZINDUA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WANANCHI KUPATA VITAMBULISHO VYA URAIA MKOANI TABORA

Loading...
DKT MWIGULU AZINDUA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WANANCHI KUPATA VITAMBULISHO VYA URAIA MKOANI TABORA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT MWIGULU AZINDUA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WANANCHI KUPATA VITAMBULISHO VYA URAIA MKOANI TABORA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT MWIGULU AZINDUA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WANANCHI KUPATA VITAMBULISHO VYA URAIA MKOANI TABORA
link : DKT MWIGULU AZINDUA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WANANCHI KUPATA VITAMBULISHO VYA URAIA MKOANI TABORA

soma pia


DKT MWIGULU AZINDUA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WANANCHI KUPATA VITAMBULISHO VYA URAIA MKOANI TABORA

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Dkt. Mwigulu Nchemba akizindua zoezi la uandikishaji wa wananchi kupata kitambulisho cha uraia mkoani Tabora kushoto kwake ni kaimu mkurugenzi mkuu wa NIDA Andrew Masawe na mkuu wa wilaya ya Tabora Queen Mlonzi. zoezi hilo lilifanyika leo katika wilaya ya Tabora
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka watanzania kujiandikisha kupata kitambulisho cha Taifa kwani si zoezi la hiari ni lazima kwa mtanzania aliyeko ndani ya mipaka ya nchi ili kutambukiwa.
Waziri Mwigulu amewataka wananchi waache mazoea ya kutafuta kutambuliwa mpaka wanapokuwa na shida hasa za kutaka hati ya kusafiria au migogoro ya ardhi pale anapoambiwa yeye si raia wa Tanzania .
“Zoezi hili ni bure kujiandikisha na kupata kitambulisho pasitokee kiongozi yeyote wa wilaya na vijiji kuchangisha fedha wananchi ili wapate fomuza kujiandikisha na wala zoezi hili lisiunganishwe na siasa.”alisema Dkt.Mwigulu


Hivyo makala DKT MWIGULU AZINDUA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WANANCHI KUPATA VITAMBULISHO VYA URAIA MKOANI TABORA

yaani makala yote DKT MWIGULU AZINDUA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WANANCHI KUPATA VITAMBULISHO VYA URAIA MKOANI TABORA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT MWIGULU AZINDUA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WANANCHI KUPATA VITAMBULISHO VYA URAIA MKOANI TABORA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/dkt-mwigulu-azindua-zoezi-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DKT MWIGULU AZINDUA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WANANCHI KUPATA VITAMBULISHO VYA URAIA MKOANI TABORA"

Post a Comment

Loading...